KIMATAIFA

mhariri

Mpiga Chabo
Dec 17, 2021
203
0
0
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya England
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Gareth Southgate amefanya mabadiliko ya wachezaji wa timu hiyo ya Taifa kutokana na wachezaji wengi kukumbwa na majeraha:
โœ…
๐—œ๐—ก:
๐Ÿ”บ
Sam Johnstone
๐Ÿ”บ
Tyrick Mitchell
๐Ÿ”บ
Kyle Walker-Peters
๐Ÿ”บ
Ollie Watkins
โŒ
๐—ข๐—จ๐—ง:
๐Ÿ”ป
Aaron Ramsdale
๐Ÿ”ป
Trent Alexander-Arnold
๐Ÿ”ป
Reece James
๐Ÿ”ป
Tammy Abraham

Inaweza kuwa picha ya Mtu 1

 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท
N'Golo Kante ameondoka kambini hii leo kutokana na sababu binafsi
Kante atarudi kwenye kambi hiyo ya timu yake ya Taifa kama itawezekana kukamilisha mambo yake mapema (RMC)
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1
 

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
Kocha Herve Renard (53) raia wa Ufaransa
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

โœ…
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
2012: Bingwa wa AFCON akiwa na Zambia
โœ…
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช
2015: Bingwa wa AFCON akiwa na Ivory Coast
โœ…
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ
2018: Alifuzu Kombe la Dunia akiwa na Morocco
โœ…
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ
2022: Amefuzu Kombe la Dunia akiwa na Saudi Arabia
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1

 

vuligate

Mgeni
Dec 17, 2021
395
3
5
FULL TIME
Uruguay
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ
1-0 Peru
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ช

โšฝ
42' De Arrascaeta
Uruguay
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡พ
wamefuzu Kombe la Dunia 2022, umri ni namba tu, Luis Suรกrez (35) pamoja na Edinson Cavani (35) wamebahatika kushiriki tena mashindano makubwa duniani
๐Ÿ”ฅ

#WCQ2022
Inaweza kuwa picha ya Watu 2

 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

BRUNO APIGA MBILI, URENO YAFUZU KOMBE LA DUNIA​

1648586023774_lc_galleryImage_Soccer_Football_World_Cup.JPG

MABAO ya mshambuliaji wa Manchester United, Bruno Fernandes dakika ya 32 na 65 jana yaliipa Ureno ushindi wa 2-0 dhidi ya Macedonia Kaskazini katika mchezo wa mwisho wa mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia Uwanja wa Do Dragรฃo Jijini Porto.
Macedonia Kaskazini iliyoitoa Italia katika mechi ya kwanza ya mchujo, ilishindwa kufurukuta mbele ya Ureno iliyoongozwa na gwiji wake, mshambuliaji wa Manchester United.
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Mlinzi wa kati wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya England
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
Rio Ferdinand ametaja kikosi chake bora ambacho anahisi kitakuwa msaada mkubwa kwa timu yake ya Taifa kwenye michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu.
"Nitaanza na mabeki watatu kwasababu nahisi tupo bora sana kwenye eneo hili, [Harry] Maguire ataanza upande wa kushoto, Kyle Walker atacheza kati na Reece James upande wa kulia"
"Trent [Alexander-Arnold] atachukua beki wa pembeni upande wa kulia na [Luke] Shaw beki wa pembeni wa kushoto"
Eneo la kiungo Nitaenda na Declan [Rice] pamoja na [Jude] Bellingham. Foden yeye atakaa juu yao kwenye shimo na kisha mbele nitakuwa na washambuliaji wawili, [Raheem] Sterling na [Harry] Kane."
Hapo Mnasemaje mashabiki wa England
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ
, amepatia au ndo maana ake apo kwanza ucheke?
๐Ÿ˜œ

Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na ndevu
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
โœ…
Mfungaji bora wa EURO 2008: David Villa
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

Bingwa wa World Cup 2010: Spain
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ

โœ…
Mfungaji bora wa EURO 2012: Mario Gomez
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช

Bingwa wa World Cup 2014: Germany
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช

โœ…
Mfungaji bora wa EURO 2016: Griezmann
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

Bingwa wa World Cup 2018: France
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท

โœ…
Mfungaji bora wa EURO 2020: Ronaldo
๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น

๐Ÿ˜œ
Bingwa wa World Cup 2022:??
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1
 

mhariri

Mpiga Chabo
Dec 17, 2021
203
0
0

Kocha Brazil Atimuliwa Kazi Baada ya Kumpiga Kichwa Mwamuzi wa Kike
batch_image_750x_625594425396c.jpg

Meneja wa Desportivo Rafael Soriano akimpiga kichwa mwamuzi wa kike Marcielly Netto

KOCHA wa Klabu ya Desportivo Ferroviaria inayoshiriki daraja la tano nchini Brazil Rafael Soriano ametimuliwa kazi baada ya kumpiga kicwa mwamuzi wa pembeni na kusababisha kumpasua pua.
Tukio hilo limetokea katika pambano la robo fainali kati ya Desportivo Ferroviaria dhidi ya Nove Venecia ambapo Nova walishinda kwa jumla ya mabao 3-1.
1649682810_Rafael-Soriano-manager-of-Desportiva-Ferroviaria-dismissed-after-headbutting-the.jpg

Mwamuzi msaidizi Marcielly Netto alipoingilia kumzuia kocha wa Desportivo
Kocha wa Desportivo Rafael Soriano aliingia uwanjani baada ya kipindi cha kwanza kumalizika akienda kupinga maamuzi ya mwamuzi wa kati wa mchezo lakini mwamuzi msaidizi mwanadada Marcielly Netto akaingilia kati ili kumzuia ndipo hapo alipoambulia ndoo ya maana na kupasuka pua.
Mara baada ya tukio hilo Klabu ya Desportivo Ferroviaria ilitoa taarifa ya kumtimua kazi kutokana na kitendo hicho.
 

mhariri

Mpiga Chabo
Dec 17, 2021
203
0
0

Orlando Pirates Wataja Siku ya Kutua Nchini Alhamisi kwa Ajili ya Kuwawinda Simba​

default.jpg


UONGOZI wa klabu ya Orlando Pirates umeweka wazi kuwa utatua nchini Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba.
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika Aprili 17 katika Uwanja wa Mkapa ambapo Orlando Pirates watakuwa wageni wa Simba katika robo fainali hiyo ya kwanza.
Akzungumza na Championi Jumatano, Ofisa Mtendaji wa Orlando Pirates, Floyd Mbele alisema kuwa mara baada ya kumaliza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini uliopigwa jana wataangalia uwezekano wa kuondoka siku hiyo au kesho yake jambo ambalo litawafanya kufika Tanzania kati ya Alhamisi au Ijumaa tayari kwa maandalizi ya mchezo wao na Simba.
โ€œTukimaliza mchezo wetu wa ligi kuu ndio tutafahamu tutaondoka siku hiyo au kesho yake hivyo uhakika mzuri wa sisi kufika Tanzania ni kati ya Alhamisi au Ijumaa tayari kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu dhidi Simba.
โ€œMalengo yetu yalikuwa ni kufika mapema Tanzania ili tuweze kuweka mipango yetu vizuri na kuzoea hali ya hewa lakini imeshindikana kutokana na kubanwa na ratiba ya michezo ya ligi kuu, lakini tunaimani kila kitu kitakuwa sawa,โ€ alisema kiongozi huyo.
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

MESSI ALIPOISAIDIA ARGENTINA KUTWAA TAJI WEMBLEY​


NAHODHA Lionel Messi akiwa ameshika Kombe la Finalissima akifurahia na wachezaji wenzake baada ya kuwafunga mabingwa wa Ulaya, Italia mabao 3-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley Jijini London, England.
Mabao ya mabingwa hao wa Amerika Kusini yamefungwa na Lautaro Martinez, Angel Di Maria na Paulo Dybala, michuano hiyo ikirejea tena baada ya kufanyika mara ya mwisho mwaka 1993.
 

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania

UKRAINE YATINGA FAINALI MCHUJO KOMBE LA DUNIA​


TIMU ya Taifa ya Ukraine imefanikiwa kwenda Fainali ya mchujo wa kuwania tiketi ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, Scotland usiku wa jana Uwanja wa Hampden Park Jijini Glasgow.
Mabao ya Ukraine yamefungwa na
Andriy Yarmolenko dakika ya 33,
Roman Yaremchuk dakika ya 49 na Artem Dovbyk dakika ya 90 na ushei, wakati la Scotland limefungwa na Callum McGregor dakika ya 79.
Sasa Ukraine itakutana na Wales Jijini Cardiff Jumapili katika mechi ya kupata timu ya kushiriki Fainali za Qatar zinazotarajiwa kuanza mwezi Novemba na ataungana na timu za England, USA na Iran katika Kundi B.
Jana Ukraine wamecheza mechi ya kwanza ya mashindano tangu wavamiwe na majeshi ya Urusi mwezi February, ambayo ilisababisha mechi hiyo kuahirishwa kutoka Machi hadi June.
Kwa ujumla soka ilisimama kuchezwa Ukraine baada ya kuvamiwa na majeshi ya Russia, lakini kikosi cha wachezaji 21 wanaocheza nyumbani kutoka klabu za Shakhtar Donetsk na Dynamo Kyiv kiliweka kambi Slovenia tangu mwanzoni mwa Mei na kucheza mechi tatu za kirafiki dhidi ya klabu za Ujerumani, Italia na Croatia.
Na kuelekea mechi na Scotland kiliongezewa nguvu na wachezaji wanaocheza ligi nyingine za Ulaya ikiwemo LIgi Kuu ya England, Oleksandr Zinchenko, Vitaliy Mykolenko na Andriy Yarmolenko.
Awali timu hizo zilikutana mara mbili kwenye mechi za kufuzu Euro 2008 na kila moja ilishinda mara moja.