Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
385
515
125
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
 
  • Like
Reactions: paul

dioschory mrosso

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
1
0
0
Mimi nafikiri ni kutokuwa na mipango mfano yanga kusherekea ubingwa kwa kupita mitaa ya dar es salaam gharama zake bora wangezielekeza kwenye kujenga uwanja angalau hata kama huo wa KMC
 
Aug 19, 2024
11
2
5
Until now, when you talk about teams with a long history and the oldest in Tanzanian football, you cannot stop mentioning Simba and Yanga which are clubs owned by members and investors in one way or another. Have we seen the field of Kinondoni Municipality? What prevents Simba and Yanga from developing a stadium like this?
Investment
 
ommy. tz001

Mgeni
Aug 19, 2024
3
1
5
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
Sababu kubwa nadhan n maitaj y team n makubwa wanatumia ela nying katik uwekezaj na kingine project z uwanja haziitaj udanganyif kama unaoendelea kwny team zetu
 
  • Like
Reactions: kagoma Fernandez
Aug 19, 2024
1
0
0
Kumbukeni kmc ni team ya manispaa lakin simba na yanga ni timu za wananchi na kitu kingine viongozi wanaozimiliki hizi team muda wowote wanawaachia ngazi wengine ndomana hate mo katebgeneza uwanja lakini kauita mo arena kwan hakuuita simba arena anajua yakwamba muda wowote anaweza kuiacha simba
 
Dr bravo

Mgeni
Aug 19, 2024
1
1
5
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
Kutokua na kiwanja sio ishu vipo vilabu vikubwa na vikongwe dunian achana na afrika Zinacheza ligi kubwa na bora baran ulaya na hazijawah kumilik uwanja mpira(AC MILAN & INTER MILAN),Kila timu inawndeshwa kwa malengo sio kwa sababu fans wanasema au mtu kasema..
 
  • Like
Reactions: Wistabby

paul

Mgeni
May 20, 2024
5
1
5
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
Inatokana na tamaa za viongozi wanao ziongoza hizo tm wanajali maslahi binaf na kutokuwekeza nguvu nying kwenye maslahi ya club
 
PROFESSOR tino

Mpiga Chabo
Aug 19, 2024
1
0
0
Mpaka sasa ukizizungumzia timu zenye historia kubwa na kongwe katika soka la Tanzania huwezi kuacha kuwataja Simba na Yanga ambazo ni klabu zinazomilikiwa na wanachama pamoja na wawekezaji kwa namna moja au nyingine. Tumeuona uwanja wa Manisapaa ya Kinondoni? Kipi Kinakwamisha Simba Na Yanga Kutokua Na Uwanja Kama Huu?
Uo uwanja niuwekezaji wa serikali chini ya manispaa ya kinondoni ivyo basi serikali ndoitakua nafaida kubwa kuhusu huo uwanja..Ila simba na yanga wawekezaji ni wampito tu na ni Wana hisa kwenye timu cokama timu niyao kama bakhresa..kwaiyo Simba na yang kuwa nauwanja binafsi nijambo la mda mrefu sana..
 
πΎπ‘’π‘—π‘’π‘›π‘”π‘Ž π‘’π‘€π‘Žπ‘›π‘—π‘Ž π‘ π‘–π‘¦π‘œ π‘˜π‘–π‘‘π‘’ π‘β„Žπ‘Ž π‘˜π‘’π‘™π‘Žπ‘™π‘Ž π‘›π‘Ž π‘˜π‘’π‘Žπ‘šπ‘˜π‘Ž π‘’π‘›π‘Žπ‘—π‘’π‘›π‘”π‘Ž,β„Žπ‘Žπ‘π‘Žπ‘›π‘Ž π‘–π‘™π‘Ž π‘›π‘–π‘šπ‘β„Žπ‘Žπ‘˜π‘Žπ‘‘π‘œ π‘’π‘›π‘Žπ‘œπ‘‘π‘Žπ‘˜π‘–π‘€π‘Ž π‘˜π‘’π‘π‘Žπ‘›π‘”π‘€π‘Ž π‘˜π‘€π‘Žπ‘›π‘§π‘Ž,β„Žπ‘Žpa π‘‡π‘Žπ‘›π‘§π‘Žπ‘›π‘–π‘Ž 𝑐𝑐 π‘‘π‘’π‘šπ‘’π‘˜π‘’π‘—π‘Ž π‘˜π‘’π‘—π‘’π‘Ž π‘“π‘Žπ‘–π‘‘π‘Ž π‘§π‘Ž π‘šπ‘π‘–π‘Ÿπ‘Ž β„Žπ‘–π‘£π‘– π‘˜π‘Žπ‘Ÿπ‘–π‘π‘’π‘›π‘– π‘›π‘Ž π‘˜π‘’π‘—π‘’π‘Ž π‘“π‘Žπ‘–π‘‘π‘Ž π‘¦π‘Žπ‘˜π‘’ β„Žπ‘Žπ‘‘π‘’π‘€π‘’π‘§π‘– π‘˜π‘’π‘—π‘–π‘™π‘–π‘›π‘”π‘Žπ‘›π‘–π‘ β„Žπ‘Ž π‘›π‘Ž 𝑀𝑒𝑛𝑧𝑒𝑑𝑒 π‘€π‘Žπ‘™π‘–π‘œπ‘‘π‘Žπ‘›π‘”π‘’π‘™π‘–π‘Ž π‘π‘’π‘“π‘œπ‘Ÿπ‘’ .𝐾𝑀𝐢 π‘ π‘‘π‘Žπ‘‘π‘–π‘’π‘š 𝑛𝑖 π‘’π‘€π‘Žπ‘›π‘—π‘Ž π‘€π‘Ž π‘€π‘Žπ‘›π‘–π‘ π‘π‘Žπ‘Ž π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž π‘—π‘–π‘›π‘Ž 𝑙𝑒𝑛𝑦𝑒𝑀𝑒 π‘™π‘–π‘›π‘Žπ‘£π‘œπ‘–π‘‘π‘€π‘Ž π‘šπ‘œπ‘—π‘Ž π‘˜π‘€π‘Ž π‘šπ‘œπ‘—π‘Ž β„Žπ‘–π‘¦π‘œ 𝑛𝑖 π‘ π‘’π‘Ÿπ‘–π‘˜π‘Žπ‘™π‘–, β„Žπ‘’π‘˜π‘’ π‘˜π‘€π‘Ž π‘†π‘–π‘šπ‘π‘Ž π‘›π‘Ž π‘Œπ‘Žπ‘›π‘”π‘Ž β„Žπ‘–π‘§π‘– 𝑛𝑖 π‘‘π‘–π‘šπ‘’ β„Žπ‘Žπ‘ π‘Ž 𝑠𝑖𝑠𝑖 π‘‘π‘’π‘›π‘Žπ‘€π‘Žπ‘ π‘–π‘˜π‘–π‘™π‘–π‘§π‘Ž π‘€π‘Žπ‘€π‘’π‘˜π‘’π‘§π‘Žπ‘—π‘– π‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘β„Žπ‘œπ‘˜π‘–π‘“π‘Žπ‘›π‘¦π‘Ž π‘›π‘Ž π‘˜π‘–π‘›π‘”π‘–π‘›π‘’ π‘‘π‘’π‘›π‘Žπ‘ β„Žπ‘Žπ‘›π‘”π‘–π‘™π‘–π‘Ž π‘’π‘ β„Žπ‘–π‘›π‘‘π‘– π‘π‘Žπ‘ π‘– π‘šπ‘Žπ‘ β„Žπ‘Ž π‘¦π‘Žπ‘’π‘›π‘‘π‘’π‘™π‘’π‘’ π‘π‘œπ‘§ β„Žπ‘Žπ‘‘π‘’π‘—π‘–π‘€π‘’π‘§π‘– π‘˜π‘’π‘§π‘–π‘’π‘›π‘‘π‘’π‘ β„Žπ‘Ž 𝑀𝑒𝑑𝑛𝑒𝑠𝑠.