Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
619
125
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
 
  • Like
Reactions: Suleiman

Fembe

Mgeni
Jul 15, 2024
2
2
5
DAR ES SALAAM
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Mimi Pia Binafsi Ni Shabiki wa Simba Sc Lakini kitu hasa sipendi ni pale Linaposemwa kosa wakosaji kuona si kosa kwa kusimamia makosa yao kwa maslahi binafsi ila sio kwa maslahi ya timu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Tuchi02

Mgeni
Jul 12, 2024
3
1
5
Mi ni simba kitu ambacho kinaniboaga ni pale wachezaji wanapozingua uwanjani yan wakicheza chini ya kiwango huwa naboeka sana.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Chester boy

Mgeni
Jun 3, 2024
6
4
5
Mimi ni Yanga... mwananchi damdam... kitu ambacho sikipendi kwenye timu yangu ni kushinda goli chache... yaani tusipomla mtu 5G huwa naumwa wiki nzima kabisa 😣🤗
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jul 15, 2024
7
4
5
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
I love my simba sc but naumiaga kuona viongoz ambao wanafanya vtu ambavo vnaichafua club ya simba,tunapaswa sasa kuwa na viongoz sahihi kwenye club
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jul 15, 2024
7
4
5
Tuipende simba yetu,nachukia baadh ya watu wanaojiita wakeleketwa lkn hawana moyo wa uvumilivu,,,na viongoz uchwara waliopo kwa maslah yao bnafc,,!!
Simba sc nguvu moya
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Suleiman

Mgeni
Jul 9, 2024
7
3
5
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Mie Ni shabiki namb moja wa simba sc lakini
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Mi Ni shabiki nmb 1 wa simba sc Ila sipendezw na tabia ya baadhi ya mashabiki walalamikaji mpaka wanapekea wachezaji wetu kucheza chini ya kiwango una kuta mtu analalama kuhusu mchezaji flani mapka anataja na jina lake, naomba wenye tabia hizo tiache
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Mr Hance

Mgeni
Jul 15, 2024
1
1
5
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Simba kitu kinacho niuzi ni kelele nyingi za usajili afu wanakuja kucheza viby
 
  • Like
Reactions: Kijiweni