Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia?

edson

Mpiga Chabo
Jul 15, 2024
3
0
0
VAR TUMEIONA ILA JE AO MAREFA SI NDO HAWA HAWA WA KIBONGO MPIRA KONA ANAFUNIKA PENATI? NA JE VIPI UKO MKOANI ITAKUWAJE ? NA TUNAJUA UWANJA WA TAIFA MARA NYINGI UA UNAFUNGWA NA APO ITAKUWAJE?
 
Real clinthon chriss

Mpiga Chabo
Jul 15, 2024
3
0
0
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Mim shabiki wa Simba ila duh makocha hawawapi nafasi wazawa na hawana mbinu za mpira kabisa
 
Moo official

Mpiga Chabo
Jul 15, 2024
2
0
0
Mimi ni Yanga... mwananchi damdam... kitu ambacho sikipendi kwenye timu yangu ni kushinda goli chache... yaani tusipomla mtu 5G huwa naumwa wiki nzima kabisa 😣🤗
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Mimi Kama mwana yanga cpendi kuona tuna shida goli moja naona Kama tumefungwa
 
John cloudy

Mpiga Chabo
Jul 15, 2024
1
0
0
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Kuona yanga inafungwa naboeka sana naipenda sana yanga African
 
Mr five

Mgeni
Jun 22, 2024
6
1
5
Mambo vipi Mwana Kijiweni? Sikatai kila mtu ana timu yake ambayo anaishabikia na anaikubali kabisa kabisa na humwambii kitu kuhusu timu yake hiyo. Kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea hebu njoo tujadiiane hapa sasa... Anza kwa kutaja jina la timu ambayo unaishabikia kisa sema Kitu Gani Hufuhirahishwi Nacho Kabisa Kwenye Timu Ambayo Unaishabikia? Twende Kazi Sasa
Uongozi wa hovyo sana kwenye timu yangu