Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
344
473
25
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
 
D'vasc

Mgeni
Sep 20, 2024
1
1
5
Mi nimependa kuishabikia simba kwa mpira waliokuwa wakiucheza apo misimu kadhaa iliyopita wafurahisha nikasema kweli hapa timu ipo
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Roy Creation

Mgeni
Jun 16, 2024
12
2
5
Uimara wa Nadir Haroub na Kevin Yondani pale nyuma cross za Juma Abdul na Haji mwinyi Mikono ya Dida na Bartez pale golini Miguu ya Baba mzazi Haruna Niyonzima Speed ya Simon msuva Throw ball za mbuyu twite daah acha tu Yanga Raha wazee
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Sep 20, 2024
1
1
5
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
Me napenda team inayocheza mpira yaani boli liwe linatembea muda wote na pia wawe sharp kwenye mashambulizi
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jun 11, 2024
10
4
5
Sababu moja kubwa ya mimi kushabika timu yangu ni historia yake ndefu na mafanikio makubwa katika soka la Tanzania. Timu yangu ni moja ya klabu kongwe na yenye mafanikio mengi, ikiwemo kushinda mataji mengi ya ligi kuu Tanzania Bara, ambayo huwapa mashabiki wao fahari na shauku kubwa kuiunga mkono.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Sep 20, 2024
2
2
5
Kipindi nasoma shule ya msingi shulen kwetu tulikuaga tunacheza mipira sa wanasima walikua wengi kias kwamba nakosa namba ya kucheza yanga walikuaga wachache sana nikaona niende yanga ili nipate namba tangia hapo nimawa mwanayanga mazima mpka leoo
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Kyoma

Mgeni
May 10, 2024
15
7
5
Sijui lakini kiukweli ndugu Admin ikipita wiki bila Yanga kucheza huwa najisikia kuumwa kabisa! Maana kwa burudani ile daaaaaaaaaaaaah
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jun 11, 2024
10
4
5
Mafanikio ya kimataifa:
Yanga imewakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa mara nyingi, ikiipa timu hadhi ya kimataifa na kuvutia mashabiki wanaotaka kuiona nchi yao ikiwakilishwa.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

samwel issa

Mgeni
Sep 20, 2024
1
1
5
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
Nikiwa darasa la tatu nani mtani jembe ya mwisho ndo ilikua mwaka huo na hio siku nilipigwa ba baba kwa7bu sijafua nguo za shule kwa7b ya yanga kwanzia siku hio mzee alikua kama amewekq alama kwangu naipenda sana yanga💛💚💛
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Sep 20, 2024
3
2
5
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
Mi niliaza kuipenda simba ni pale Dem angu aliponinunulia t-shirt la simba na kuniambia niwe nalivaa mda wote apo ndo nikaaza kuipenda simba na kuachana na majimaji
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Aug 9, 2024
3
1
5
Mimi nilianza kushabikia Yanga Nikiwa mdogo kwa sababu ya baba yangu Ali kuwa ananinunulia Jezi au nguo Za Yanga lakini piah nilikuwa naenda nae uwanjani kuangalia mpira tukiwa pamoja
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Ravin_JR 27

Mpiga Chabo
Sep 20, 2024
2
0
0
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
Kitu kilicho nifanya nishabikie timu nazo shabikia saiv ambazo ni MAN U na SIMBA ni kwa sababu ya wazazi walikuwa wana shabikia hizo timu na uki shabikia timu nyingine una ambiwa hakuna ķula nyumbani
 
Young Teflon

Mgeni
May 2, 2024
12
5
6
Boko dovya
Ukweli mimi nilivutiwa sana na uchezaji wa JUICE COTTON YONDANI ; aloo...! yule jamaa alifanya nikawa mashabiki wa YANGASC ghafla tu, nakumbuka niliwahi shabikia ubingwa wa AZAMSC ata bila kuijua inamilikiwa na nani inatokea wapi.🤣
Anyway
Kijani na njano tunaitumia sana kwenye kilimo cha maharagwe na ufuta. Wakulima watanielewa.
 
shulle

Mpiga Chabo
Sep 19, 2024
3
1
0
Mi naishabikia simba ( mwana simba kindandaki) hii nikama historia kwangu, nakumbuka Baba alikunywa pombe siku hiyo ilikua siku ya ijumapili 2014 simba na yanga zilikua zinacheza baba
Aliniambia twende kuangalia mpira toka siku hiyo nilianza kuipenda simba
 
patinho_08

Mpiga Chabo
Sep 20, 2024
1
0
0
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
Waliniita uhuru selemani kuanzia hapo nikawa mwanasimba😂🙌🏽
 
KLOPPKILLETE

Mgeni
Sep 1, 2024
3
1
5
Ushabiki wa soka nchini Tanzania ni sehemu muhimu ya utamaduni wa michezo na jamii kwa ujumla. Soka linaunganisha watu kutoka makabila, dini, na tabaka mbalimbali, likiwa na nguvu ya kuleta mshikamano wa kitaifa. Timu kubwa kama Simba SC na Yanga SC zina mashabiki wengi wenye mapenzi ya dhati, na kila mechi kati ya timu hizi mbili (maarufu kama "Kariakoo Derby") hufuatiliwa kwa hisia kali. Ushabiki wa soka nchini pia unajidhihirisha kupitia timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo mashabiki hushirikiana kuipa timu hiyo sapoti kubwa, hasa inapokuwa katika mashindano ya kimataifa. Michezo ya soka nchini Tanzania ni zaidi ya burudani; ni sehemu ya utambulisho wa kitaifa na urithi wa michezo.

Tuambie Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?
OYAA aisee kipindi Iko 2011 mpaka 2012 na kuendelea ndo Yanga imeshika Ile yanga ya kampa kampa Tena yaani KILA ukifika class watu yanga yanga Sasa daaah me nikaona sio kweli aiseee Yani watu wote yanga na mm napenda sana kuwa tofauti nikaona ngoja nianze kubishania kuhusu Simba muda huo nipo na rafiki angu mmoja anaitwa pilato basi class Zima yanga sisi ndo Simba... Daah juma pili tunaingua hapo TAIFA na mwanangu Pilati. Simba tuliipambania 😂