Kocha Mkuu wa Yanga Nasredine Nabi amefungiwa michezo mitatu

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Kocha Mkuu wa Yanga Nasredine Nabi amefungiwa michezo mitatu kukaa katika benchi pamoja na faini ya Tsh 500,000.

Nabi amekumbana na adhabu hiyo baada ya kuwatolea maneno makali mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba wakati wa mchezo wa Ihefu na Yanga ambapo Yanga alipoteza 2-1.

Licha ya Kocha Nabi kuonywa na waamuzi kwa kuoneshwa kadi ya njano lakini aliendelea na kitendo hicho.
Fh-2rE9WIAItgK3.jpg