Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI?

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
56
54
5
Dar Es Salaam
Last edited:

Luther

Mgeni
Feb 27, 2024
2
2
5
Kumekua na taaarifa nyingi zaidi haswa kuhusu kauli ambayo ameitoa Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba kubwa zaidi kuhusu Kufuzu Kwa Yanga Robo Fainali Ashukuriwe MO DEWJI wewe unadhani ni Sahihi kwa kauli hii? Isom kwa undani hapa https://www.kijiweni.co.tz/ahmed-ally-uko-sahihi-ila-wakati-uliotoa-kauli-yako-sio-sahihi/

Tembelea WhatsApp Channel Ya Kijiweni kwa kugusa link hii hapa
https://whatsapp.com/channel/0029VaCqKZzE50UeLjkORM2r
Ni sahihi kwasababu mara zote ukitaka kufanikiwa lazima awepo anaekupa changamoto
Kama hupati changamoto yeyote maana yake pia huna lolote unalofanya
Kauli ile ya Mo Dewji ilikuwa kwajili ya kuwatia moyo wananchi kwamba mapambano hayajaisha
Ila wakati ambao Ahmed Ally anakuja kuongea amechelewa sana
Maneno ni sahihi lakini siyo wakati sahihi
Amekumbuka shuka tayari kumekucha
#YoungAfricans_Daima Fainali,,robo tuwaachie makolo
 
  • Like
Reactions: Amir and Hammy36

Amir

Mgeni
Dec 10, 2021
736
12
5
tanzania
Ni sahihi kwasababu mara zote ukitaka kufanikiwa lazima awepo anaekupa changamoto
Kama hupati changamoto yeyote maana yake pia huna lolote unalofanya
Kauli ile ya Mo Dewji ilikuwa kwajili ya kuwatia moyo wananchi kwamba mapambano hayajaisha
Ila wakati ambao Ahmed Ally anakuja kuongea amechelewa sana
Maneno ni sahihi lakini siyo wakati sahihi
Amekumbuka shuka tayari kumekucha
#YoungAfricans_Daima Fainali,,robo tuwaachie makolo
Ni kweli kabisa, Mo Dewji alitoa kauli ile kwa upendo kabisa lakini Ahmed Ally amekuja kuitamka visivyo na kwa wakati usio sahii. Yanga kufika robo fainali imepambana yenyewe, wachezaji, benchi la ufundi, uongozi na pia mashabiki. #YoungAfricans #Wananchi
 
  • Like
Reactions: Hammy36

beatus

Mpiga Chabo
Feb 27, 2024
2
4
0
Mimi nafikiri Ahmed Ally. yupo sahihi kwani kukumbusha turiko toka na tunako erekea ni vizuri zadi. na bado itabaki kuwa historia ambayo haitafutika katika taifa retu na hasa kwa wapenzi wa michezo
 
  • Like
Reactions: Deuss and ABADI

beatus

Mpiga Chabo
Feb 27, 2024
2
4
0
Ni kweli kabisa, Mo Dewji alitoa kauli ile kwa upendo kabisa lakini Ahmed Ally amekuja kuitamka visivyo na kwa wakati usio sahii. Yanga kufika robo fainali imepambana yenyewe, wachezaji, benchi la ufundi, uongozi na pia mashabiki. #YoungAfricans #Wananchi
Nivigumu kukwepesha ukweri. kwa vigezo kuwa Ahmed Ally ameogea swala hili kwa wakati ambao siyo sahihi. naomba niurize kuwa kama siyo sahihi Ahmed kuogea kigezo siyo wakati sahihi. je kuna haja ya kuwa na historia ya virabu vyetu?