Kwa msimu ujao Bodi ya Ligi Kuu imepanga kuweka kanuni za kuzikata alama timu zitakazojihusisha na vitendo vya ushirikina. Nini maoni yako?
Kwa Hilo hapo itakuwa ngumu kidogo maana jambo la ushilikina ni la Giza kugundua itakuwa ni shda labda ushilikina wa kujionesha wazi hapo sawa lkn naona bado utata utakuwepo huwezi kugundua ushilikina Kama wewe sio mshilikina bado utata utakuwepoKwa msimu ujao Bodi ya Ligi Kuu imepanga kuweka kanuni za kuzikata alama timu zitakazojihusisha na vitendo vya ushirikina. Nini maoni yako?