kumfungia Chama ni msiba kwa Simba

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Chama ndio mchezaji pekee Simba huwezi na sio rahisi kupata mbadala wake, na kama kocha huwezi acha kumpanga kikosi cha kwanza Chama anakupa vitu vingi sana, ni wachache sana kama Chama Karia Karia
tutasafirisha:ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO::ROFLMAO:
 
JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Chama ndio mchezaji pekee Simba huwezi na sio rahisi kupata mbadala wake, na kama kocha huwezi acha kumpanga kikosi cha kwanza Chama anakupa vitu vingi sana, ni wachache sana kama Chama Karia Karia
sio msiba mdogo huo
 
Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Chama ndio mchezaji pekee Simba huwezi na sio rahisi kupata mbadala wake, na kama kocha huwezi acha kumpanga kikosi cha kwanza Chama anakupa vitu vingi sana, ni wachache sana kama Chama Karia Karia
mzee Chama muhimu sana Simba
 
sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Chama ndio mchezaji pekee Simba huwezi na sio rahisi kupata mbadala wake, na kama kocha huwezi acha kumpanga kikosi cha kwanza Chama anakupa vitu vingi sana, ni wachache sana kama Chama Karia Karia
huyu akiondoka Simba sijui itakuaje
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Chama ndio mchezaji pekee Simba huwezi na sio rahisi kupata mbadala wake, na kama kocha huwezi acha kumpanga kikosi cha kwanza Chama anakupa vitu vingi sana, ni wachache sana kama Chama Karia Karia
Hakosi mbadala ila mwenye uwezo kama yeye