Kurudi kwa Inonga kunaimarisha zaidi nafasi yetu ya ulinzi na kulejesha Tena mwanzo wa mashambulizi Mana ndiye beki anayeanzisha mashambulizi pale tunapokuwa Nyuma na mpira.
Pia Safi yetu ya Ulinzi ilipwaya hivyo kurudi kwake tunajua tutaimalika zaidi
Kurudi kwa Moses hii ipo wazi kuwa anamsaada mkubwa kwa team asipokufunga basi mabeki zaidi ya mmoja watamkaba itasaidia wachezaji wako kufanya Jambo hivyo ni mchezaji muhimu kikosini ndiye Mfungaji wa mabao mengi kwa Simba
Anauwezo wakufata mipira toka chini akaileta juu so anaporudi tayari tunaona Simba akiwa na uwezo wa kufunga na kuzuia magoli asifungwe
Kurudi kwao Ni nafuu kwa Simba