Kwa Kauli Hii Ya MWIGULU NCHEMBA Wewe Una Maoni Gani?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
"Mwanangu buana, Ulifunga goli la muhimu sana katika mechi muhimu sana Jana. Anyway hii ni kawaida yako, ndivyo ulifanya ukiwa mitaa ya Jangwani, ndivyo unaendelea kufanya mitaa ya Chamazi".

Ulishafanya makubwa Jangwani na Chamazi, mwanangu kwani vipi ukimaliza kabisa mitaa yote Dar es Salaam yaani mpaka mtaa wa Msimbazi kabla ya kuja Singida? Si Baba kasema? Congrants my "Dkt Mwigulu Nchemba!
Mwiulu.png
 
Jittaboytz

Mgeni
Sep 1, 2024
8
2
5

View attachment 1550
Fei toto fundi Sana wa ball ivo inatakiwa aende njee akaongezee ufundii Zaid..
 
MIKOGO 2024

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
4
0
0
Yaan huyu kijana ana moyo wa kujituma na kupambana akiwa kwenye Clab yake na Timu ya Taifa, akipata Clab kubwa ya nje ni vyema zaidiiiii. Akatuwakilishee
 
mrlugytz

Mpiga Chabo
Sep 11, 2024
2
0
0
"Mwanangu buana, Ulifunga goli la muhimu sana katika mechi muhimu sana Jana. Anyway hii ni kawaida yako, ndivyo ulifanya ukiwa mitaa ya Jangwani, ndivyo unaendelea kufanya mitaa ya Chamazi".

Ulishafanya makubwa Jangwani na Chamazi, mwanangu kwani vipi ukimaliza kabisa mitaa yote Dar es Salaam yaani mpaka mtaa wa Msimbazi kabla ya kuja Singida? Si Baba kasema? Congrants my "Dkt Mwigulu Nchemba!
View attachment 1550
Anamaanisha fei lazma atacheza unyamaaani
 
Munobwa

Mgeni
Sep 3, 2024
7
2
5
Muheshimwa kaamua kumueshimishaa fei .
Maendeleo hayana adui.
Binadamu banaa tupo Kama kinyongaa leoo wanakufurahiaa ukikosea wanazomeaa badala ya kukutia tumaini.