Kwa Nini Lisandro Martinez Aliitwa “The Butcher"..??

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Lisandro Martinez Alizaliwa 18-01-1998 Na Silvina Cabrera(Mama) Na Raul Martinez (Baba) Huko Gyualeguay,Mesopotania Kaskazin Mashariki Mwa Argentina.Asili yake Iko Kati ya mto ya parana na uruguay.Mahali hapo pamebarikiwa chem chem za maji moto na mbuga za kitaifa.

Kama Ambavyo Ni Kawaida Kwa Wachezaj Kutoka Amerika Kusini Kuishi Na kukulia Kwenye mazingira ya kimaskini yaliyo jaa Uhuni na vurugu ndivyo Hivyo Kwa lisandro Martinez.
Lisandro Martinez Na familia yake wanatokea kitongoji Cha El molino, Gyualeguay Katika mkoa wa Entre.ni 234km Kutoka Buenos Aires mji mkuu wa Argentina 🇦🇷. Lisandro Martinez ametoka kaya ya watu wa Hali ya Chini anajua Vizuri Maana Halisi ya njaa,Kwa ufupi Wazazi Wake hawakuwa na Uwezo Kabisa,Aliwahi Kusema akimuona mtu ana Wakati Mbaya Huwa anajiweka sawa na atajitahidi kumsaidia.
Jina lake la utani the butcher yaani mchichanji limetokea Wapi..??jina hili alipewa na wachezaj Wenzak Kutokana na ukali wake na Matumiz Makubwa ya akili uwanjani.
Waswahili Wanasema Nyuma ya Kila Mwanaume aliyefanikiwa Kuna Mwanamke,bila shaka lisandro ni Mwanasoka aliyefanikiwa,Nyuma ya kazi ya beki huyu yupo Mwanamke Mrembo anayefahamika Kwa jina Muriel Lopez Benitez A.k.a Muri.
Lisandro Alikutana Na Mpenzi Wake Muri Lopez Akiwa Newell's Old Boys (Academy Ya zamani ya Messi) Kipindi Hicho Bado anajitafuta Kimaisha Muri alimwambia Lisandro maneno haya“ninakuomba usinishinde, Kwamba usiniache Kamwe,na husisahau daima ni Mimi Muri ninayekupenda,ni Mimi ninayekungoja,Nina Kupenda Kwa Maisha Yangu,Roho Yangu na moyo Wangu."
Licha ya lisandro kuwa mkatili Kwa washambuliaji wa Timu Pinzani Lakini nje ya uwanja moyo wake unatii amri mbele ya mwadada Muri.
Mwaka 2019 alijiunga na Ajax Amsterdam akitokea defensa y justica Kwa dau 7m .Akicheza Kwa Mafanikio Makubwa Kabla ya kutimkia Manchester United mwanzoni Mwa msimu huu Kwa ada 57.4m.
Lisandro Martinez ni mshindi Wa eredivisie x2,knvb beker x1,super cup x1,Copa America x1 na conmebol/uefa finalissima x1 na kombe la Dunia na pia ni Mshindi wa Tuzo ya mchezaj Bora Wa Mwaka Katika Klabu ya ajax 2021-2022.
Lisandro Martinez ndani ya Manchester United Ni Zaidi ya beki kiongozi Katika Kikosi Cha Mwalimu ten Hag..!
 
Clara

Mgeni
Dec 13, 2022
20
6

Stori yake inavutia sana
 
  • Like
Reactions: ChichaMandi