Kwa nini Simba wanatoa beki kisiki inonga baka

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Japo kubaki au kuondoka ni maamuzi ya mchezaji mwenyew. Kwa maoni yangu aondoke tu kwa sababu Simba SC ya sasa ni tia maji tia maji,,,,inaua carrier za wachezaji. So, kama anataka kung’ara zaidi aende timu ambayo haina ubabaishaji kama Simba SC kwa sasa.