Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

MGALATIA IC⚽N

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
4
0
0
M
Lautaro Martinez @Eltoro
Hutu asipochukua hii tuzo basi zitakua ni figisu tu...
Kachukia ligi kuu ya Italia
Kachukua ufungaji bora wa serie A
Kachukua copa America 🇦🇷
Kachukua ufungaji bora wa Copa America pia..
Sasa sijui nini kitafchezaji bora wa UEFA

Lautaro Martinez @Eltoro
Hutu asipochukua hii tuzo basi zitakua ni figisu tu...
Kachukia ligi kuu ya Italia
Kachukua ufungaji bora wa serie A
Kachukua copa America 🇦🇷
Kachukua ufungaji bora wa Copa America pia..
Sasa sijui nini kitafanya asipewe..🇦🇷🇦🇷
Kuna mtu kabeba UEFA & UEFA SUPA C,bado pia n MVP wa UEFA, vip hyo tumpge chin au tukupe muda kaka😎
 
baba akooo

Mgeni
Aug 11, 2024
8
2
5
Wengine wooote watapungua itabki mtu tano ndani ya track Moja yaàni
5-Lutaro Martinez
4_Jude Bellingham
3_Viniciours
2_Halaand
1_ Mbape
Halfu sasa naona kbc Bellingham ndo mshindi
 
MGALATIA IC⚽N

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
4
0
0
Vini jr,
kabeba la liga,UEFA,supa cup,UEFA supa cup, MVP wa LIGI YA MABINGWA, goli 24 na assist 11 kwenye timu yake, goli 2 copa america,
 
Boy47

Mpiga Chabo
Sep 5, 2024
1
0
0
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Rodri wa man cty
 
John Jr

Mpiga Chabo
Sep 5, 2024
2
0
0
Hope ni Vinicius au Bellingham coz hii tuzo inaangalia zaid ulaya hasa kwa mashindano ya EUFA champions league
 
Seb Jr

Mgeni
May 20, 2024
3
2
5
Na mwaka huu watamnyima RODRI tena 😔
In two occasions for club and country tumemwona kwa macho yetu, lkn bado tu, L'equipe wataipitisha 🙌
 
Ndenda jr

Mpiga Chabo
Sep 4, 2024
3
0
0
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Nico williams
 
Bplm1664

Mpiga Chabo
May 30, 2024
13

Lautaro Martinez au Dani Carvajal Martinez kabeba copa america na ni mfungaj Bora ligi kuu na kabeba kombe la ligi
Dani Carvajal kabeba la Liga kabeba Euro na Spain na pia kachukua UEFA champions league so kati yao sitakua na dought
 
Saidy

Mgeni
Jun 5, 2024
58
15
5
Lautaro Martinez
Rodri
Bellingham

Kati ya hao mmoja wapo ndio anayestahili tuzo hasa hasa Martinez ndio mwenye uwezekano mkubwa wa kuchukua na ndie anaye stahili ✍️
 
Bplm1664

Mpiga Chabo
May 30, 2024
13
0
0
Hapana
Mtu anaye faa hii tuzo ni Jude belingham
1.mfungaji Bora wa laliga
2.top assist laliga
3.mchezaji Bora laliga
4.kachukua UEFA
5.Kafika fainali EURO
6.kachukua laliga
Huyu mwingereza anafaa bwana labda kama Kuna kigezo kingine aisee tukumbuke ya modric Jude akikosa basi kunaupendeleo kabisa.
Hastaili kwa upande wangu wachukue waliobeba makombeee yote makubwaaa kama EURO LEAGUE NA UEFA mtu kama Carvajal ana kila kituuu