Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

Kijo

Mpiga Chabo
Aug 13, 2024
3
0
0
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Vini Jr 1 Jude 2 haaland 3
 
Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
11
4
5
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Hapa kuna mtu wa kuitwa HAALAND huyu jamaa sjui ni jini au n binadamu wa kawaida anyway lkn namuona VINI JR akichukua vile maana mpinzani wake wa karbu BELLINGHAM kaenda injury
 
Sep 18, 2024
2
1
5
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003, nguli wa Soka Duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawamo kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d'Or.

Messi alishinda tuzo huyo Mara 8 huku Ronaldo akishinda mara 5

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa imewajumlisha
View attachment 1546

Mdau, unadhani nani anastahili ushindi wa tuzo ya Ballon d'Or 2024?
Haaland
 
Joh 28

Mpiga Chabo
Sep 26, 2024

Dan carvajal