Kwa watanzania wengi mchezo ni soka tu

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Bongo mtu akisikia michezo kinachokuja akilini ni football
emoji460.png
️ tu.

Hata kelele nyingi na uwekezaji uko kwenye football.

Na huko ni full mambo ya usimba na uyanga tu.

Jamani dunia imefunguka.

Michezo ni mingi sana saivi.

Kuna ndondi aka nakozi na Taekwondo mieleka Sarakasi michezo ya baiskeli kurusha tufe kisahani
emoji3478.png
emoji3041.png


kubeba vitu vizito
emoji963.png
michezo ya majini

Golfukupanda miinukomichezo ya wanyama Basketball baseball handball ️ wale‍🦽

Michezo ya baiskeli basketball michezo ya kuteleza

kukimbia mbio fupi na ndefu
emoji2089.png
kuruka juu na chini michezo ya mezani , kulenga shabaha, tenisi vinyoya, kriketi nk nk

Jamani michezo ipo mingi mingi sana sio football tu.

Tupeleke macho, talanta zetu na uwekezaji kwenye michezo hii mingine maana sio kila mtu anajua kucheza football.

Halafu uzuri jamii zetu nyingi tayari zina hii michezo kwa mfano ndugu zetu wamasai wao kiasili ni walenga shabaha sio ajabu wangeweza kutuletea medali kibao tu kama wangepelekewa hiyo michezo ya kulenga shabaha.
 
  • Like
Reactions: Mr. Lee Joon Gi