Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Kutoka Mitandao ya Kijamii ameanza kuchapisha Shaffih Dauda na kusema

"Taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba wajumbe wote wa bodi ya klabu ya @SimbaSCTanzania kutokea upande wa mwekezaji @moodewji wamejiuzulu! "

Akafata JEMEDARI SAID Na yeye kuandika

"Mwekezaji wa Simba SC mwenye 49% Mohamed DEWJI amewapigia simu wajumbe wa Bodi ya klabu ambao wanatokana na upande wake (aliowateua yeye) na kuwataka wajiuzulu nafasi zao. Mpaka sasa wajumbe 3 wamegoma kutii AMRI ya tajiri ambao ni RASHIDI SHANGAZI,HAMZA JOHARI NA SALIM ABDALLAH."
 

sheby

Mpiga Chabo
May 18, 2024
4
0
0
Hapo alichokifanya ni sahihi kwasababu viongozi waliokuwepo walikuwa hawana mapenzi na timu ila kwa niaba ya kula tu.
 

nasibu riznas

Mpiga Chabo
Jun 6, 2024
1
0
0
Toa takataka zote hzo mo, wanakalia ela wakati hazileti manufaa kwa mashabiki tunakosa furaha msimu mzima kama underdog team bhana, alaa!
 

Kitwana

Mpiga Chabo
Jun 6, 2024
1
0
0
MO DEWJI mwenyewe pesa anazichungulia wakihitajika wachezaji wamaana anapesa anafukuza ma kocha 😂😂 na yeye kirusi kiboko ni babra ✅
 
Last edited:

sheby

Mpiga Chabo
May 18, 2024
4
0
0
Hizo sungusungu zote ziondoshwe wanatumia siasa kuhalibu timu tena mo, angekuwa anawapigia kila mtu cm achanganye mbaliga kuliko kukalia kiti ambacho hakileti faida waend zao
 

SamDom2024

Mpiga Chabo
Jun 7, 2024
1
0
0
From Social Media, Shaffih Dauda has started posting and said

"Information from a reliable source is that all members of the board of the @SimbaSCTanzania club from the side of the investor @moodewji have resigned!"

Aka JEMADARI SAID And he wrote

"The investor of Simba SC with 49% Mohamed DEWJI has called the members of the board of the club who are from his side (appointed by him) and asked them to resign their positions. So far 3 members have protested to obey the order of the rich man who is RASHIDI SHANGAZI, HAMZA JOHARI AND SALIM ABDALLAH."
Mbona Salim Abdallah Try Again ameshatry out
 

Omega George

Mpiga Chabo
Jun 7, 2024
2
0
0
Kuna muda ukitaka kuyafikia malengo yako unapaswa uwe na roho mbaya. Fyeka vikwazo vyote bila huruma.

Simba ni Mo na Mo ni simba.
 

Nasher

Mpiga Chabo
Jun 7, 2024
2
0
0
Ni suala la muhimu sana ukizingatia ni misimu mitatu sasa tumepoteza yeye kama tajeer lazima achukue reaction Kam hiyo nampongeza sana👏👏