Kwa Yanayoendelea Mtandaoni Kuhusu SIMBA Wewe Maoni Yako Ni Yapi?

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
48
7
5
Sahihi kabisa ,,,impact yao tumeiona so hawana hadhi ya kuiongoza Simba SC. Wababaishaji hawa, kama vipi wapite hiviii,,,we need real and genuine leaders for sustainable development in this Institution.
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
48
7
5
Sahihi kabisa ,,,impact yao tumeiona so hawana hadhi ya kuiongoza Simba SC. Wababaishaji hawa, kama vipi wapite hiviii,,,we need real and genuine leaders for sustainable development in this Institution
 
Mshana jr

Mpiga Chabo
Jun 7, 2024
1
0
0
Viongozi wa Simba hawana mapenzi ya dhati na timu Bali huangalia maslai Yao binafsi....na Mo sio shabiki wa Simba yeye anasimama kama mfanya biashara kwahiyo malengo ni tofauti Kila upande.
 
ommary abdallah

Mpiga Chabo
Jun 7, 2024
2
0
0
Kutoka Mitandao ya Kijamii ameanza kuchapisha Shaffih Dauda na kusema

"Taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba wajumbe wote wa bodi ya klabu ya @SimbaSCTanzania kutokea upande wa mwekezaji @moodewji wamejiuzulu! "

Akafata JEMEDARI SAID Na yeye kuandika

"Mwekezaji wa Simba SC mwenye 49% Mohamed DEWJI amewapigia simu wajumbe wa Bodi ya klabu ambao wanatokana na upande wake (aliowateua yeye) na kuwataka wajiuzulu nafasi zao. Mpaka sasa wajumbe 3 wamegoma kutii AMRI ya tajiri ambao ni RASHIDI SHANGAZI,HAMZA JOHARI NA SALIM ABDALLAH."
Kuna wakati ukiwa kama tajir mwekezaji na unatoa maelekezo hayatekelezwi basi inakubidi tuuh ufanye maamuzi magumu ili kutengeneza mazingir mengine mapyaa Kwa sababu inauma sana club kubwa kama hio inaendeshwa kienyeji tu HAPANAAA