Beki wa Brcelona Gerard Pique ametangaza kustaafu kucheza mpira wa miguu na wikiendi hii atacheza mchezo wake wa mwisho watakao cheza dhidi ya Almeria utakaopigwa pale uwanja wa Camp Nou.
Mchezaji huyu amecheza kwenye viwango vya juu kwa muda mrefu na kutajwa kwenye vikosi bora vilivyochukua mataji makubwa klabuni na timu yake ya taifa. kama
World cup (1)
European Championship (1)
Champions League (4)
La Liga (8)
Club World cup (3)
Super cups (3)
K