Yanga wamepoteza magoli 2 -0 dhidi ya Us Monastir, lakini magoli yote waliyofungwa Yanga leo ni ya SET PIECES yaan mipira ya kutengwa.
Kwa jinsi magoli yalivyofungwa nikawa namkumbuka beki mpya wa Yanga raia wa Mali Mahmadou Doumbia ambaye ana kimo kirefu kuzidi mabeki wote wa Yanga walioanza leo ( Bangala na Job), wachezaji wa Us Monastir walifunga magoli kwa urahisi sana.
Note: Mipira ya juu imekuwa changamoto kubwa sana sio tu kwa Yanga hata kwa Simba pia jana tumeona hili, Walimu wana kazi kubwa ya kufanya katika safu zao za ulinzi.
FT: US MONASTIR 2 - 0 YANGA