Kwani Yanga Na Mambo Ya Kufungiwa Hamjifunzi Tu?

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Kuna wakati hawa YANGA walikuwa wanadaiwa na Mchezaji yani madai yamekuwa mengi, baadae ikatoka taarifa ya BMT kudai kuwa Yanga hawakulipa ada ya Uanachama ya mwaka, baadae ikatoka taarifa ya FIFA kuwafungia Yanga kisa madai, leo tena YANGA anadaiwa, sio afya kwa taasisi kama Yanga, haipendezi kila wakati.Hofu yangu kuna siku itatokea mistake kubwa sana ambayo inaweza kuwapa shida kubwa zaidi ya hii, hapo ndipo stori itabadilika na Mchawi atatafutwa. Ni ngumu kusikia hivi kwa AZAM ama SIMBA, ni mara chache mno