Kwanini Simba ssc msim huu anaenda kumaliza nafasi ya tatu kwenye legea ya NBC!!?.

Philip

Mpiga Chabo
May 27, 2024
1
0
0
1.usajili alioufanya kuanzia dirisha kubwa hadi dogo hujamlipa.
2.ameruhusu kufungwa na yanga ssc nje ndani.
3.kuna baadhi ya game wachezaji walikua hawajitoi kuipambania team ili ipate matokeo chanya.