Lameck Lawi Kayeyuka SIMBA Anaenda Kucheza Ulaya

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo atafuzu vipimo vya afya.

Wagosi wa Kaya inaaminika kuwa watakunja kiasi cha EURO 100,000 kwenye biashara hiyo ikiwa ni sawa na MILLION 287 za Kitanzania huku wakiweka kifungu cha onward resale, ikiwa na maana watakunja pesa nyingine endapo Gent watafanya biashara nyingine ya kuuza mchezaji huyo.

Ni habari njema kwa Tanzania, kipaji kingine kinaenda kuhudumu kwenye soka la Ulaya.

Wagosi wa kaya wanaamini ni njia sahihi kwa kijana lawi kufikia ndoto na malengo yake ya kucheza ligi bora duniani,huko club pia ikiamini itanufaika zaidi kupitia dili hili kwa maana imani kubwa ipo kwa kijana michirizi na Umri wake.
 
  • Like
Reactions: Mafuniko

elkana

Mgeni
Jun 22, 2024
6
2

Ni mali ya simba iyo waache wajidanganye😂😂😂😂
 
  • Like
Reactions: Juma4

Ommy Graphics

Mpiga Chabo
Jul 5, 2024
1
0

Unafki huu