Ligi ianze, Naona Jirani Yangu Shabiki Wa Simba Ameanza Kunenepa

May 27, 2024
14
7
5
Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana
emoji22.png
emoji22.png

Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
 
Modestmallya

Mpiga Chabo
Jul 16, 2024
3
0
0
Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana
emoji22.png
emoji22.png

Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
Hapana shida sio kunenepa wala kukonda shida hawa viongozi wetu wa mpira wanachanganya mpira na siasa ndio maana timu unakuta inakufa , wachezaji kukosa moral ya mpira na n.k
 
Fembe

Mgeni
Jul 15, 2024
2
2
5
DAR ES SALAAM
A
Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana
emoji22.png
emoji22.png

Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
Ligi ianze namuona jirani yangu shabiki wa simba amenenepa sana
emoji22.png
emoji22.png

Huyu rafiki yangu mwingine ni kolo kindaki ndaki ameanza kuota na kitambi tangu ligi ilivyoisha
afadhali tunenepe tu Kuliko kukosa unene na ubingwa
 
  • Like
Reactions: Maqs boy tz