Komba Kuchezesha Mechi Ligi ya Mabingwa Afrika.

MWAMUZI wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika Raja CA (Morocco) dhidi ya Amazulu (Afrika Kusini) utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mohamed V Casablanca, Morocco Februari 12,2022.
Komba yupo nchini Cameroon kwenye michuano ya Kombe la mataifa huru Afrika (AFCON)