Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

Hammy36

Administrator
Jan 17, 2023
54
51
5
Dar Es Salaam
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.

Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka akatoka kiroho safi tena huku AKIKIMBIA. Kitendo hiki kiliniacha na mshangao maana haikuwahi kutokea pindi yupo SIMBA.

Wakati yupo SIMBA alipokuwa akifanyiwa substitution alikuwa anatoka kwa kununa na wakati mwingine alikuwa anatoka na kuzira kabisa hakai kwenye benchi badala yake anaenda kupumzika chumba cha kubadilisha nguo.

Je kwa tukio la jana CHAMA alituma ujumbe gani kwa timu ya SIMBA na mashaabiki wake? Ama kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa supu lakini siyo mwanadamu. Nilwaza sn kwamba hivi ndiyo huyu mashaabiki wa SIMBA walimhusudu na kumtukuza kwa jina la Mwamba wa Lusaka!!! Mara mzee wa local motive.

NB
Ushauri wangu kwa SIMBA na YANGA acheni kupaparikia wachezaji na kuwapa UFALUME ambao hata wewe nyumbani kwako hauna. Mnawasifia wachezaji kiasi cha kuwafanya nao kujihisi bila wao timu haiwezi kusonga mbele. Wakati mwingine hasa hawa wachezaji wa kigeni wamekuwa wanasifiwa na kutukuzwa na mashaabiki na vyombo vya habari hadi kuwafanya kujiona km nao sasa ni raia wa Tanzania.
Km siyo ushamba basi punguzeni mihemko kwa hawa wachezaji wa kigeni. Mbona wachezaji wa ndani hamuwapi huo UFALUME. Ebu angalia kazi anayofanya JOB, BAKA, na nk pale YANGA. Pale SIMBA yupo ZIMBWE (SHABALALA) KAPOMBE, MANULA nk. Hawa wote wamezitumikia timu zao kwa uadilifu mkubwa sn na muda mrefu tena kwa mshahara wa kawaida sana lakini hawaimbwi na mashaabiki wala vyombo vya habari zaidi ya kuwaponda pindi siku hawapo mchezoni. Utaskia wanasifiwa akina DIARA, PAKOME, CHAMA, YAOYAO,, AZIZI KEY, LAKRED MALOME tena huyu wamempa eti jina la UKUTA WA YERIKO. Mbona hayo majina hatuayasikii kwa wazawa.
 
  • Like
Reactions: Zuu joh and Khassim

Pelas

Mgeni
Jun 8, 2024
9
4
5
Asipo jiangalia benchi litamnyoosha huyu mbwa alikimbia ili awe anapata hata sub maana sioni mtu wa kuweka benchi pale yanga 🤞👍
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
45
7
5
Sisi watanzania ni washamba sana, akili/ufahamu finyu,,,no explosure, hatujiamini,tumejaa hofu, hatuna vision na wala hatuna focus na tumejaa COMFORT ZONE ktk kila nyanja ya maisha. Ndo maana tunapelekeshwa na tunapelkesheka kirahisi kwny mambo mengi.Wachache watatoboa,,,😢😢💔💔💔💔
 
swazy

Mpiga Chabo
Jun 13, 2024
2
0
0
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.

Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka akatoka kiroho safi tena huku AKIKIMBIA. Kitendo hiki kiliniacha na mshangao maana haikuwahi kutokea pindi yupo SIMBA.

Wakati yupo SIMBA alipokuwa akifanyiwa substitution alikuwa anatoka kwa kununa na wakati mwingine alikuwa anatoka na kuzira kabisa hakai kwenye benchi badala yake anaenda kupumzika chumba cha kubadilisha nguo.

Je kwa tukio la jana CHAMA alituma ujumbe gani kwa timu ya SIMBA na mashaabiki wake? Ama kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa supu lakini siyo mwanadamu. Nilwaza sn kwamba hivi ndiyo huyu mashaabiki wa SIMBA walimhusudu na kumtukuza kwa jina la Mwamba wa Lusaka!!! Mara mzee wa local motive.

NB
Ushauri wangu kwa SIMBA na YANGA acheni kupaparikia wachezaji na kuwapa UFALUME ambao hata wewe nyumbani kwako hauna. Mnawasifia wachezaji kiasi cha kuwafanya nao kujihisi bila wao timu haiwezi kusonga mbele. Wakati mwingine hasa hawa wachezaji wa kigeni wamekuwa wanasifiwa na kutukuzwa na mashaabiki na vyombo vya habari hadi kuwafanya kujiona km nao sasa ni raia wa Tanzania.
Km siyo ushamba basi punguzeni mihemko kwa hawa wachezaji wa kigeni. Mbona wachezaji wa ndani hamuwapi huo UFALUME. Ebu angalia kazi anayofanya JOB, BAKA, na nk pale YANGA. Pale SIMBA yupo ZIMBWE (SHABALALA) KAPOMBE, MANULA nk. Hawa wote wamezitumikia timu zao kwa uadilifu mkubwa sn na muda mrefu tena kwa mshahara wa kawaida sana lakini hawaimbwi na mashaabiki wala vyombo vya habari zaidi ya kuwaponda pindi siku hawapo mchezoni. Utaskia wanasifiwa akina DIARA, PAKOME, CHAMA, YAOYAO,, AZIZI KEY, LAKRED MALOME tena huyu wamempa eti jina la UKUTA WA YERIKO. Mbona hayo majina hatuayasikii kwa wazawa.
ile nimechi ya kilamtu acheze so mechi ya jashoo
 
Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Binafsi sikubaliani na wewe mkuu,ukicheza vzur sifa na heshima itakuwepo, Feisal,Bacca,Job,Mudathir,Zimbwe,Kapombe wa moto heshima yao ipo na wanafukuzwa kama wageni, Shida ni kwamba wachezaji wengi wa hapa nyumbani hawana consistency,alafu tusilazimishe kulinganisha awa wageni kuna mchango mkubwa wameleta kwenye ligi yetu,tusipambane kulinganisha bali tupambane kuwatengenezea wachezaji bora kuanzia chini,Diarra,Azizi Ki,Pacome,Yao nk msingi wao wa mpira ni mkubwa tangu utotoni ndio maana ni bora, wachezaji wetu wajitahidi kuwa professional,ulishawahi kusikia kuna mchezaji wa kigeni ana skendo za usajili kama wetu akina Awesu,Dogo wa Cost union nk
 
Steve the best

Mpiga Chabo
Jul 21, 2024
1
0
0
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.

Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka akatoka kiroho safi tena huku AKIKIMBIA. Kitendo hiki kiliniacha na mshangao maana haikuwahi kutokea pindi yupo SIMBA.

Wakati yupo SIMBA alipokuwa akifanyiwa substitution alikuwa anatoka kwa kununa na wakati mwingine alikuwa anatoka na kuzira kabisa hakai kwenye benchi badala yake anaenda kupumzika chumba cha kubadilisha nguo.

Je kwa tukio la jana CHAMA alituma ujumbe gani kwa timu ya SIMBA na mashaabiki wake? Ama kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa supu lakini siyo mwanadamu. Nilwaza sn kwamba hivi ndiyo huyu mashaabiki wa SIMBA walimhusudu na kumtukuza kwa jina la Mwamba wa Lusaka!!! Mara mzee wa local motive.

NB
Ushauri wangu kwa SIMBA na YANGA acheni kupaparikia wachezaji na kuwapa UFALUME ambao hata wewe nyumbani kwako hauna. Mnawasifia wachezaji kiasi cha kuwafanya nao kujihisi bila wao timu haiwezi kusonga mbele. Wakati mwingine hasa hawa wachezaji wa kigeni wamekuwa wanasifiwa na kutukuzwa na mashaabiki na vyombo vya habari hadi kuwafanya kujiona km nao sasa ni raia wa Tanzania.
Km siyo ushamba basi punguzeni mihemko kwa hawa wachezaji wa kigeni. Mbona wachezaji wa ndani hamuwapi huo UFALUME. Ebu angalia kazi anayofanya JOB, BAKA, na nk pale YANGA. Pale SIMBA yupo ZIMBWE (SHABALALA) KAPOMBE, MANULA nk. Hawa wote wamezitumikia timu zao kwa uadilifu mkubwa sn na muda mrefu tena kwa mshahara wa kawaida sana lakini hawaimbwi na mashaabiki wala vyombo vya habari zaidi ya kuwaponda pindi siku hawapo mchezoni. Utaskia wanasifiwa akina DIARA, PAKOME, CHAMA, YAOYAO,, AZIZI KEY, LAKRED MALOME tena huyu wamempa eti jina la UKUTA WA YERIKO. Mbona hayo majina hatuayasikii kwa wazawa.
Kweli kaka umekiona nilicho kiona daaaaaaaahhhh
 
MWANI MWANI OG

Mpiga Chabo
Jul 21, 2024
1
0
0
Kwa mtazamo wangu Chama aligundua kuwa simba wanampenda au wanamjari saaana
Hivyo atakachokifanya wanakikubali tyu
Ila yanga wamempa live ukidengua Dirisha Dogo litamuhush
 
aman

Mgeni
Jul 21, 2024
2
1
5
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.

Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka akatoka kiroho safi tena huku AKIKIMBIA. Kitendo hiki kiliniacha na mshangao maana haikuwahi kutokea pindi yupo SIMBA.

Wakati yupo SIMBA alipokuwa akifanyiwa substitution alikuwa anatoka kwa kununa na wakati mwingine alikuwa anatoka na kuzira kabisa hakai kwenye benchi badala yake anaenda kupumzika chumba cha kubadilisha nguo.

Je kwa tukio la jana CHAMA alituma ujumbe gani kwa timu ya SIMBA na mashaabiki wake? Ama kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa supu lakini siyo mwanadamu. Nilwaza sn kwamba hivi ndiyo huyu mashaabiki wa SIMBA walimhusudu na kumtukuza kwa jina la Mwamba wa Lusaka!!! Mara mzee wa local motive.

NB
Ushauri wangu kwa SIMBA na YANGA acheni kupaparikia wachezaji na kuwapa UFALUME ambao hata wewe nyumbani kwako hauna. Mnawasifia wachezaji kiasi cha kuwafanya nao kujihisi bila wao timu haiwezi kusonga mbele. Wakati mwingine hasa hawa wachezaji wa kigeni wamekuwa wanasifiwa na kutukuzwa na mashaabiki na vyombo vya habari hadi kuwafanya kujiona km nao sasa ni raia wa Tanzania.
Km siyo ushamba basi punguzeni mihemko kwa hawa wachezaji wa kigeni. Mbona wachezaji wa ndani hamuwapi huo UFALUME. Ebu angalia kazi anayofanya JOB, BAKA, na nk pale YANGA. Pale SIMBA yupo ZIMBWE (SHABALALA) KAPOMBE, MANULA nk. Hawa wote wamezitumikia timu zao kwa uadilifu mkubwa sn na muda mrefu tena kwa mshahara wa kawaida sana lakini hawaimbwi na mashaabiki wala vyombo vya habari zaidi ya kuwaponda pindi siku hawapo mchezoni. Utaskia wanasifiwa akina DIARA, PAKOME, CHAMA, YAOYAO,, AZIZI KEY, LAKRED MALOME tena huyu wamempa eti jina la UKUTA WA YERIKO. Mbona hayo majina hatuayasikii kwa wazawa.
Kaka huu ushabik wa kulwa na doto ni kwel haufai,baka wanamsifu kidogo , agenda inahamia kwa mwngne wa nje ya tz,huu niumama had mchezaj anaamua atakacho kwakuwa mmempa kiburi,,,hongera unenena,ila watakuona unabweka tuu
 
  • Like
Reactions: Wistabby

Rambo

Mpiga Chabo
Jul 21, 2024
2
0
0
ilikuwa haman aja ya kunyimana number mana kila mchezaji alitaka acheze na ile timu ili tu na yeye awe na historia ya kucheza na timu kubwa suala la kutoka akiwa amefurahia jipe mda ngoja ligi ianze
 
Dayana

Mpiga Chabo
Jul 21, 2024
1
0
0
Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona.

Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka akatoka kiroho safi tena huku AKIKIMBIA. Kitendo hiki kiliniacha na mshangao maana haikuwahi kutokea pindi yupo SIMBA.

Wakati yupo SIMBA alipokuwa akifanyiwa substitution alikuwa anatoka kwa kununa na wakati mwingine alikuwa anatoka na kuzira kabisa hakai kwenye benchi badala yake anaenda kupumzika chumba cha kubadilisha nguo.

Je kwa tukio la jana CHAMA alituma ujumbe gani kwa timu ya SIMBA na mashaabiki wake? Ama kweli bora umfadhili mbuzi utakunywa supu lakini siyo mwanadamu. Nilwaza sn kwamba hivi ndiyo huyu mashaabiki wa SIMBA walimhusudu na kumtukuza kwa jina la Mwamba wa Lusaka!!! Mara mzee wa local motive.

NB
Ushauri wangu kwa SIMBA na YANGA acheni kupaparikia wachezaji na kuwapa UFALUME ambao hata wewe nyumbani kwako hauna. Mnawasifia wachezaji kiasi cha kuwafanya nao kujihisi bila wao timu haiwezi kusonga mbele. Wakati mwingine hasa hawa wachezaji wa kigeni wamekuwa wanasifiwa na kutukuzwa na mashaabiki na vyombo vya habari hadi kuwafanya kujiona km nao sasa ni raia wa Tanzania.
Km siyo ushamba basi punguzeni mihemko kwa hawa wachezaji wa kigeni. Mbona wachezaji wa ndani hamuwapi huo UFALUME. Ebu angalia kazi anayofanya JOB, BAKA, na nk pale YANGA. Pale SIMBA yupo ZIMBWE (SHABALALA) KAPOMBE, MANULA nk. Hawa wote wamezitumikia timu zao kwa uadilifu mkubwa sn na muda mrefu tena kwa mshahara wa kawaida sana lakini hawaimbwi na mashaabiki wala vyombo vya habari zaidi ya kuwaponda pindi siku hawapo mchezoni. Utaskia wanasifiwa akina DIARA, PAKOME, CHAMA, YAOYAO,, AZIZI KEY, LAKRED MALOME tena huyu wamempa eti jina la UKUTA WA YERIKO. Mbona hayo majina hatuayasikii kwa wazawa.
❤️
 
Nyoka dume

😂 aaah hamna point hapo mzee ile ni friendly match ndo mana hamna limit ya substitution kweny friendly games kwahyo ukisema ametolewa huku amefurah kweny friendly match inakua haina maana sana labda hyo point yako ungesubiri game ya maamuzi let's say ligi au kimataifa ndo uanze kujudge, now it's too early for those issues
 
Mr two hands skills

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024

Mbona wazawa wanapewaaaa hayo majinaa
 
Skr_tz

Mgeni
Jul 2, 2024
8
3

Kakah unataka wapewe majina gani
AIR MANURA, MKANDAJI n.k si nisehemu ya sita izo pia au unataka kuwatomhanisha mashabiki wa Simba na chama?
 
Skr_tz

Mgeni
Jul 2, 2024
8
3
5
😂 aaah hamna point hapo mzee ile ni friendly match ndo mana hamna limit ya substitution kweny friendly games kwahyo ukisema ametolewa huku amefurah kweny friendly match inakua haina maana sana labda hyo point yako ungesubiri game ya maamuzi let's say ligi au kimataifa ndo uanze kujudge, now it's too early for those issues
Pamoja apo kakah, jamaa huenda amenunuliwa kuwatomhanisha chama na mashabiki wa Simba 😂