Mabadiliko ambayo yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani CR7 Cristiano Ronaldo

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
95787515-6c6d-4953-aa3b-ca502a6daab2.jpeg
 
Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
View attachment 993
Nguvu yake kwenye ushawishi wa soka hamna anayeihoji,tunaomchukia pia tunamchukia kwasababu hiyo hiyo kwanini ameondoka kwenye timu yetu mtu ambaye ana ushawishi hivyo?
 
jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
View attachment 993
Mimi kwa maoni Yangu....CR alikuwa ana play game ya Fulani pale United ikabuma.Its like alikuwa ana create mazingira yatakayompa hasira ya kupambana sana ili arudi tena kwenye peak kwa kutumia hasira hiyo, sema Hesabu hazikwenda Vema, imebidi atoboe mbele kwa mbele
 
JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
View attachment 993
Ni wakati sahihi ameondoka na kocha aliliona mapema,alikua ananyima vijana kucheza Kwa Uhuru zaidi
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131

Hamna mtu anamchukia Ronaldo pale OT ukifuatilia Kwa makini,sema mashabiki mara nyingi tunapelekwa na ushabiki pia
 
Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
View attachment 993
Timu ilikua inacheza Kwa kumzunguka yeye,mipira yote iende kwake n that was a big problem Kwa timu,ona now Mpemba wiseee anavyo jiachia kama anacheza alone
Kwamba Sancho angepiga chenga mwenyewe na kufunga bao la kutupa ushindi wakati CR yupo kwa box la 18 basi CR angempiga vibao Sancho kwa nini hakumpa pasi?au Kocha asingeshangilia goli la Sancho??Bado sijaelewa ilikuwa inawazuia Vipi wengine kufanya vitu sahihi
 
Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Ni wakati sahihi ameondoka na kocha aliliona mapema,alikua ananyima vijana kucheza Kwa Uhuru zaidi
Anawavuruga kivipi??yaani ni kama Mimi niogope kuchati Humu niseme Flani ananivuruga wakati yeye anaendelea tu maisha yake Humu hana mbambamba na mtu😃😃😃alikuwa Anawavuruga Vip?
 
kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
View attachment 993
Kwa Soko tu Jamaa yuko vizuri
 
Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
Al-Nassr kipindi awajamsajili uyu mwamba walikua na follows 860k lakini mpaka Sasa follows wanaongezeka Kama mvua hadi Sasa inasoma 6m na mastaa wakubwa watu maarufu wanazidi kumfuata uko alipo

Na jezi zake zote za awali walizoztengeneza zimenunuliwa zote
Kingine zaidi ligi itaaza kuonyeshwa live Kama dili litatiki la kuonyeshwa ligi iyo (DStv)

Mabadiliko ayo yote yamefanywa na mtu mmoja mwenye brand kubwa duniani #CR7 Cristiano Ronaldo
View attachment 993
Unazani wanamlipa pesa ndefu kwanini anawaletea faida kubwa ndo shida yao