Mabadiliko gani ambayo Simba wanapaswa kuyafanya kwenye kikosi chao?

Seb Jr

Mgeni
May 20, 2024
3
2
5
Nadhani sasa Simba waanze kuwaangalia vijana chipukizi. Maana sasa ni kama inakuwa klabu ya maveterani, na akademia wanazo na vijana wanaskuma mali kisawasawa
 
  • Like
Reactions: mkele

mkele

Mgeni
May 21, 2024
1
1
5
ili simba arudishe makali yake bas n dhahili aanzie katika uongoz kwasabab ndio msingi wa Kila kitu tumeona hat Kwa yanga uongozi bola na umefanya timu iwe imara kama viongozi wataongea lugha Moja basi kutakuwa na madiliko makubwa sana
 
  • Like
Reactions: Dayna

Dayna

Mpiga Chabo
May 21, 2024
1
0
0
Simba Bila kufumuwa huo uongozi uliopo huko ndan na kufanya usajiri wa uhakika bas hakuna maanabu mapya sijui viongozi wameridhika na hali hii au wapo ilimrad liende tu!! aisee bas wanasimba sisi furaha tuanazid kuisikia kwa majiran zetu 👎uongozi mane mengi hakuna matendo kabisa inaboa kinoma wanaishia kutuambia mayele anakuja Simba LAkin mwisho wa siku hakuna mayele Wala babu yake mayele hakuna.