Madrid wamerudi nyuma sana saivi sijui tatzo liko wapi wako nafasi ya pili nyuma ya Barcelona kwa pointi 3 kamili, Hapo mbele February wanaendakukutana na Liverpool kwenye Champions Ligi watawezana kweli? au Liverpool ataenda kulipa kisasi Ingawa nao sio wazuri kwasasa.
Madrid kapoteza pointi 3 mbele ya Villarreal, Madrid wanahitaji mbadala wa wachezaji lasivyo wataendelea kubahatisha ushindi kila siku na wakukutana na timu imejipanga wanapigwa. Camavinga hawezi kukua kama atakua anaingizwa ukishazidiwa mbinu, mpe dakika za kutosha akomae mbona Asensio wanampa muda
Crucial stage of the season and dropping shit performances