Madrid Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Msimu ujao

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
The faster we learn to move on from these two the better. Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Carlo juzi hakukosea kupanga kikosi wala simlaumu ishu ni kwamba majority ya wachezaji wetu hawapo at their best sa hv.

They are below average Fede,Tchouameni,Asensio,Nacho,Carvajal,hawapo kwenye kiwango sa hivi. Ceballos juzi kakosa msaada pale kati, Camavinga was doing his best LB ila anakosa msaada akipanda

Vini kama kawaida yake anapelekewa mipira mingi ila ndo hvyo end product hakuna anakimbia kwenye msitu wa watu, Bora akiwepo Benzema Atleast anaogopa anakua anamtafutia

Rodrygo as 9 tunadanganyana He can’t ni kumpa mzigo asiostahili Kwa ile 11 ya jana only 3 players tried showing kwamba wanatetea jezi, Camavinga, Rudiger na Ceballos. Wengine hakuna kitu

Kipindi cha Pili unaingiza Kroos na Modric Tchouameni na Fede wakatoka atleast tukaanza kucontrol possession Lakina sasa kua na possession na kuwapatia forwards ambao wanaishia kupotezea hizi possession ni ufala kutwanga maji kwenye kinu sijui.

So Carlo akaingiza Mariano na Manywele yake hoping kwamba tuanze piga cross labda atapatia moja iingie lakini zile nywele zake mipira inaenda nje tu Kumalizia, we lack squad depth Key players wasipokua on form we are finished.

1675839271842.png
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Timu mkubwa kama Madrid inakosaje Sub?
Forgings zipo ktk kila timu...aijalishi ukubwa...
Point ni kwamba kikosi hakina kina cha wachezaji mahiri...

Pia plague ya majeruhi inatuandama

Carlo kumsupport perez kunatufelisha...ktk nyenzo ya usajili...still anamuaminisha sisi pamoja na perez kwamba kikosi kinaeza kupambania mbio za ubingwa.

Lengine...players wana lack motivation especially wachezaji ambao hawana uhakika wa namba mfano...rodrygo, mariano niliwaambia polojo za carlo kweny media zinakinaisha wachezaji wa njee na kuwabwetesha wachezaji wanao anza!
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Ndo kombe pekee la msimu huu ambalo lipo open sana
And linaeza saidia sana kuBoost morale ya team
Going forward
We have tight schedule ahead
Tunatakiwa kutetea taji la UCL, fight for La Liga, Semi-final Copa del Re
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Timu mkubwa kama Madrid inakosaje Sub?
Hana usajili ametutangazia kutaka kila mchezaj mwisho wa siku tumeambukia na camavinga namba 3
Tim kubwa kama Madrid itakosaje mtu wa sub mpaka tunapanga watu sio namba zao