The faster we learn to move on from these two the better. Huu msimu let’s just count it as a loss ili tufanye signings za maana Carlo juzi hakukosea kupanga kikosi wala simlaumu ishu ni kwamba majority ya wachezaji wetu hawapo at their best sa hv.
They are below average Fede,Tchouameni,Asensio,Nacho,Carvajal,hawapo kwenye kiwango sa hivi. Ceballos juzi kakosa msaada pale kati, Camavinga was doing his best LB ila anakosa msaada akipanda
Vini kama kawaida yake anapelekewa mipira mingi ila ndo hvyo end product hakuna anakimbia kwenye msitu wa watu, Bora akiwepo Benzema Atleast anaogopa anakua anamtafutia
Rodrygo as 9 tunadanganyana He can’t ni kumpa mzigo asiostahili Kwa ile 11 ya jana only 3 players tried showing kwamba wanatetea jezi, Camavinga, Rudiger na Ceballos. Wengine hakuna kitu
Kipindi cha Pili unaingiza Kroos na Modric Tchouameni na Fede wakatoka atleast tukaanza kucontrol possession Lakina sasa kua na possession na kuwapatia forwards ambao wanaishia kupotezea hizi possession ni ufala kutwanga maji kwenye kinu sijui.
So Carlo akaingiza Mariano na Manywele yake hoping kwamba tuanze piga cross labda atapatia moja iingie lakini zile nywele zake mipira inaenda nje tu Kumalizia, we lack squad depth Key players wasipokua on form we are finished.