Madrid tunaelekea Champions ligi kwa hali hii tuliyo nayo sasa?

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Casemiro alikua kiungo wangu pendwa sana ila he had one best quality kuzuia tu, mengine ilikua ni changamoto, many times alikua anapiga mapass mikaa tunashindwa kutoka kwenye backyard yetu tukibanwa now tuna Tcho ambae anapiga pass nzuri he is calm na ana miaka 22 something ambayo Case hakua nayo ata that time na hajawahi kua nayo!!na kwanza msimu aujaisha we made a good deal

Hii timu wazee waende tuache mambo ya Kina Try again na kina Hersi wabongo..

Modric na Kroos awa wanasababisha tubaki pale pale tucheze mfumo ule ule sababu uwezo wao ndio umeishia pale kwa sasa!!

Benzema 2024 iwe basi akwende nae tufind janja lingine

tukianza na awa kutakua na changes nyingi na positive!!

Ukikaa ukawaza watu walitoa hela kwa Raphinha ambae mwaka huu ana miaka 27 anatimiza unamshukuru Mungu Perez kwa kusajili Rodrygo na Vini

Siku hizi unatoa €50m or more alafu wanakuambia muda bado ataimprove serious miaka 25+?? 😂😂

Mambo yatachange tukishatoa mafaza maana ata kocha akija atakutana na machalii ambao anaweza bend mifumo fresh tu bila maswali mtu atengeneze timu upya! vijana tunao vizuri tu ila tumestuck sana na limfumo la 4-3-3 yaani ata kama eti mtu kaumia wa kucheza Dm bado kocha anaforce 4-3-3 😂😂
 
McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131

Exactly
Kinachotudumanza...tusi bend system ni our old dogs!
 
sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89

kuna siku Hazard atachezeshwa DM kisa Kroos,Valverde na Tcho wameumia nyie 😂
 
  • Like
Reactions: Kriss

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
Casemiro alikua kiungo wangu pendwa sana ila he had one best quality kuzuia tu, mengine ilikua ni changamoto, many times alikua anapiga mapass mikaa tunashindwa kutoka kwenye backyard yetu tukibanwa now tuna Tcho ambae anapiga pass nzuri he is calm na ana miaka 22 something ambayo Case hakua nayo ata that time na hajawahi kua nayo!!na kwanza msimu aujaisha we made a good deal

Hii timu wazee waende tuache mambo ya Kina Try again na kina Hersi wabongo..

Modric na Kroos awa wanasababisha tubaki pale pale tucheze mfumo ule ule sababu uwezo wao ndio umeishia pale kwa sasa!!

Benzema 2024 iwe basi akwende nae tufind janja lingine

tukianza na awa kutakua na changes nyingi na positive!!

Ukikaa ukawaza watu walitoa hela kwa Raphinha ambae mwaka huu ana miaka 27 anatimiza unamshukuru Mungu Perez kwa kusajili Rodrygo na Vini

Siku hizi unatoa €50m or more alafu wanakuambia muda bado ataimprove serious miaka 25+?? 😂😂

Mambo yatachange tukishatoa mafaza maana ata kocha akija atakutana na machalii ambao anaweza bend mifumo fresh tu bila maswali mtu atengeneze timu upya! vijana tunao vizuri tu ila tumestuck sana na limfumo la 4-3-3 yaani ata kama eti mtu kaumia wa kucheza Dm bado kocha anaforce 4-3-3 😂😂
Musiala unamtoaje Bayern??tuanzie apo ana mkataba sijui mpaka lini uko