Real Madrid wanafuatilia hali ya mwamba wa Manchester United Bruno Fernandes ambaye kwa sasa awajibikia timu ya taifa la Ureno..
Kufikia sasa katika kombe la Dunia Bruno amehusika moja kwa moja katika upatikanaji wa mabao 4 akifunga mawili na kuchangia mengine mawili.
Mwezi Juni,Bruno Fernandes alirefusha mkataba na mashetani wekundu kusalia Old Trafford hadi mwaka wa 2026 lakini inasemekana timu hiyo ya Uhispania iko tayari kuvunja benki ili kunasa huduma za kiungo huyo