Leo ndio Ile siku ambayo droo ya makundi ya kufuzu kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON2025) itakayofanyika nchini Morocco inafanyika nchini Afrika Kusini katika jiji la Johannesburg ambapo nchi hizi ndio ambazo utaziona zikipangwa katika makundi mbalimbali ambazo ni Morocco (Wenyeji), Cote d’Ivoire, Algeria, Angola, Benin, Botswana, Burundi, Cameroon, Cape Verde, Central African Republic, Chad, Comoros, Congo, DR Congo, Egypt, Equatorial Guinea, Eswatini, Ethiopia, Gabon, Gambia, Ghana, Guinea, Guinea Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Libya, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Sao Tome & Principe, Senegal, Sierra Leone, South Africa, South Sudan, Sudan, Tanzania, Togo, Tunisia, Uganda, Zambia na Zimbabwe.
Ungepata Nafasi Ya Kupanga Makundi Ya Kufuzu Msimu Huu Ungeyapanga Vipi?
Ungepata Nafasi Ya Kupanga Makundi Ya Kufuzu Msimu Huu Ungeyapanga Vipi?