Man United leo tulizidiwa kwa sehemu na Arsenal wamesatahili Pointi 3 muhimu

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
ETH mechi ya pili hii anazingua kwenye Sub .....ya Crystal Palace alizembea tukasuluhu na hii ya leo tena… anatafuta nini ???

Weghorst alitakiwa atoke mapema sana kwan hakuwa na msaada alikua mzito hata pasi zinapotea hakukua na mipira ya cross pia hana speed kwenye counter attack alipaswa aingie Gernacho then Rashford aingie ndani CF ikiwa vp Facundo aingie winga ya kulia lli kuwa-press juu na Counter attack tunaenda kwa speed hata wasingekuwa wanakuja wote
Tactics yetu ya atack ni Qickly Caunter na yeye hana speed hivyo msaada wake huwez onekana

McTommy leo kajitahidi kucheza kwa nidhamu ya juu inayompelekea kutotimiza majukumu yake

Facundo ni muhimu upande wa anthony

hatuna mfungaji katili, ukiangalia kuanzia timu za juuu hata chini yetu nyingi zinatuzidi sana magoli

Man Utd hatuwez shika bomba dakika za lala salama tukiwa tunashambuliwa

A5F539FD-75C7-48D8-A293-E5389AB139CA.jpeg
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Msilalamike sana wazee wachezaji walijituma sana nilichokiona ni kwamba Arsenal pia wameimarika karibia idara zote ni makosa madogo sana yaliigharimu Utd.Erik Ten Hag jana alikuja na approach nzuri sana ninachomlaumu ni kuchelewa kufanya mabadiliko mapema wakati timu ilikuwa inashambuliwa muda wote wa kipindi cha pili.Kuhusu ubingwa ni kosa sana kumuweka kwenye kinyang'anyiro cha kuchukuwa ubingwa ingawa bado kuna nafasi kwa Erik ten Hag top four itakuwa mafanikio makubwa sana kwake na pia kumbukeni bado yupo kwenye michuano mingine kama Efl cup,Europa Ligue,na Fa
 
  • Like
Reactions: kamakawa

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Man Utd inahitaji wachezaji 5 ili tukae sawa.

Jana tulikosa ball carrier pale kati na solid DM( Casemiro)

Tunahitaji striker kama Osimhen strong, sharp and clinical

Solid & Versatile RB ( Dalot anahitaji competition) AWB siyo mbadala wa uhakika

Tunahitaji Goalkeeper mpya
 

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Fred alipoingia alisaidia sana kwenye kukaba vinginevyo mambo yangekuwa makubwa.

Eriksen kwangu mm ndo aliuwasha kuliko mchezaji yeyote wa Man U siku hiyo. Na alionesha uhai kuliko ata Bruno na wengineo apo kati kwenda mbele.

Sub ilitakiwa atoke Vegost aingie Ganacho, Kisha Rashford aende kati Ganacho awe pembeni.

Antony alitakiwa kubaki kwakuwa alikuwa anarudi mpka nyuma kukaba, otherwise angetoka aingie Elanga mwenye speed zake angekuwa anashuka nyuma na kukaba na kupanda mbele kiurahisi.

Nawaambia Vegost pale kati kakokost ata msitafute mchawi apo magoli wangepata vzuri tu wangepata wazoefu wa timu. Ata Martial angekuwapo kutokana na nature ya mechi wangeshinda