Manchester United first half iliuacha mpira uchezwe na hii imekuwa mbinu Mpya unachiwa ucheze mpira alafu unaadhibiwa.

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Manchester United first half iliuacha mpira uchezwe na Mpinzani na hii kwasasa imekuwa mbinu Mpya unachiwa ucheze mpira arafu unaadhibiwa.

Tunamuona Ten Hag Leo amempa majukumu ya kukaba Sana Waghost na amefanikiwa kukaba Ila sio jukumu la kushinda.

mpira ulikuwa mzuri magoli mazuri yote ya mipango Manchester ilikuwa inaweza kushinda goli nyingi Kama sio kukosa umakini golini kwa mpinzani

Rashford amewaka Sasa kila team inamuogopa maana anakufunga mda wowote ule Sancho amerudi Manchester wanacheza kwakuutaka ubingwa sio team ambayo ipo ipo Sasa inauhakika kuwa ikishinda inakuwa na amzingira mazuri ya Ubingwa.

3EAD5B16-58F4-444E-94A4-15491B5A9C7B.jpeg
 
  • Like
Reactions: jamal and Joan

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
WEIGHOST YUPO VIZURI ZAIDI YA ANYONY MARTIAL KAZI YAKE NAONA NI KUPRESS TU ILA KUFUNGA 🤔🤔 MKOPO UKIISHA ARUDI ZAKE ILI HARRY KANE KIMBUNGA AWEZE KUCHUKUA NAFAS YAKE . TUTAWASHANGAZA

Alichobadilika Rashford ni uwezo wa Ku convert chances into goals, nafasi hizi alikuwa miaka yote anazipata anapoteza nafasi