Manchester United imekuwa team yenye spirit ya ushindi kwasasa japo kukosekana kwa no 9 mtu msumbufu na hatari kunafanya team ikose magoli mengi au nafasi nyingi Mana magoli ya Manchester now yanafungwa Sana na viungo washambuliaji.
Mechi ilikuwa nzuri Man u walitawala game kipindi chote mpaka pale kadi nyekundu ilipotolewa kwa Jambo la kizembe Sana na huyu Casemiro huwa akikosekana team Ina pwaya Sana Sana pale Kati
Tuwapongeze mabeki wetu veran na Martinez walifanya kazi ngumu Sana baada ya kadi pia Wan Bisaka na Shaw walikuwa wako active Sana Sana kuzuia mashambulizi yasifike golini.
Manchester United bado inahitaji usajiri no 9 hayupo.