Manchester United

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Man United bado hawajapoteza pointi kutokana na kushinda nafasi zao chini ya Erik ten Hag.
Maguire nahodha wa timu karudi kwenye kikosi na anaonekana kama ana mabadiliko tofauti na alivokua mwanzo, kuna uwezekano pia akawepo Europa ya wiki hiii
United maendeleo yake yanaonekana kila mechi baada ya mechi na badhi ya wachezaji viwango vyao vimebadilika sana na kuonekana bora zaidi ya walivokua mwanzo ( pira la 10H 🔥)
 
Last edited:

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Mwanzoni mwa Msimu: anaandika Mohamed Abu Trika
"Maoni yangu ya kwanza kwa lisandro Martinez ni "Maguire" toleo la "Argentina", kwanza ni mfupi, ni mzuri tu mpira ukiwa timu na kwa bahati mbaya Manchester United walilipa milioni 50 kwake"

Mohamed Abu Trika juzi baada ya mechi ya West Ham United:
"Nilikua mwepesi kumhukumu Martinez, anacheza vizuri na kuboresha uwezo wake mechi baada ya mechi. kwa sasa ni mmoja wa mabeki bora kwenye ligi"


1667370903232.png
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Man united wapo pointi 3 tu kutoka nafasi ya 3 wakiwa na mchezo mkononi, na ponti 6 pekee nyuma ya Man City, baada ya kukutana na Liverpool, Arsenal, Spurs, Chelsea, Man City, na Newcastle.