Man United bado hawajapoteza pointi kutokana na kushinda nafasi zao chini ya Erik ten Hag.
Maguire nahodha wa timu karudi kwenye kikosi na anaonekana kama ana mabadiliko tofauti na alivokua mwanzo, kuna uwezekano pia akawepo Europa ya wiki hiii
United maendeleo yake yanaonekana kila mechi baada ya mechi na badhi ya wachezaji viwango vyao vimebadilika sana na kuonekana bora zaidi ya walivokua mwanzo ( pira la 10H
)

Last edited: