Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup ianze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso.