Mapinduzi Cup Imekosa Mvuto? Nini Kifanyike?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup ianze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso.
 
kacks

Mpiga Chabo
Dec 30, 2024
3
0
0
Zikiwa zimesalia siku mbili michuano ya mapinduzi cup ianze kutumia vumbi huko Zanzibar, timu za Uganda na Burundi zimejiondoa

Sasa zimesalia timu 4 tu ambazo ni Zanzibar heroes, Kilimanjaro stars, Kenya na Burkina Faso.
Watumie tu team za kawaida hiz kubwa kuzipata kaz sana mashindano mengi