Martin Odegaard.
Huyu dogo tangu akiwa Sweden then akanunuliwa na Real Madrid akiwa kinda anayelipwa mshahara mkubwa kuliko makinda wote duniani.
Madrid wakamtoa kwa mkopo timu mbali mbali hadi hapo mwaka jana alipoibukia kwa mkopo Arsenal na msimu huu Arteta akaamua kumnunua na kumpa kitambaa.
Dogo ndio injini ya Arsenal, ananikumbusha kile kipindi cha Denis Begkhamp