Matampi sio kipa mbaya..ni chaguo sahihi kwa ssc iv ushawai kufikiria kwa upande wa pil goli kipa wao akidai kuondka we unahis nan anawez kua mrithi sahihi??
Simba sc wakishindwa kumbakisha Ayoub lakred bas sizan kama hata kwenye usjajili wataweza kufanya vizuri , wataendelea kuokotaokota tu na Yanga aendelee tu kudominate league.