Sema wakati mwingine PICHA inaweza kubeba ujumbe, hii imestua baadhi ya watu kwani hapo ni Mr CEO wa Simba SC, Iman Kajula na mshambuliaji Fiston Mayele ambaye anakipiga pale Pyramids FC ya Misri. Kila mmoja ameweza kutunga sentensi yake kulingana na aina hii PICHA na kutoka na majibu tofauti tofauti. Sijui wewe umetoka na jibu gani ? Tembelea https://www.kijiweni.co.tz/ kusoma makala mbalimbali za michezo na kupata dondoo za ubashiri.
Last edited: