Mayele ni mechi 5 sasa hajatetema katika michezo yake aliyoicheza ligi kuu ametetema mara 3 mpaka sasa, kwenye mechi ya mwisho aliyotetema Mayele ilikua ni dhidi ya Mtibwa Sugar iliyopigwa September 13, 2022.
Leo Yanga wana kiwasha na Singida Big Stars kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa saa 1:00 usiku. Je Mayel atatetema?

Leo Yanga wana kiwasha na Singida Big Stars kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa saa 1:00 usiku. Je Mayel atatetema?