MAYELE: Yanga Wanajali Sana Maslahi Yao Kuliko Ya Mchezaji Nikirudi Watanipokea Tu

May 27, 2024
7
2
5
mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri ametoa kauli hii

“Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Yanga mashabiki watanipokea.

“Kitu ambacho nimejifunza Tanzania ni kwamba mashabiki wengi huwa wanajali maslahi yao na sio ya wachezaji.

“Kucheza misimu miwili ndani ya yanga ilikuwa ni furaha sana kwao, ila ilipofika hatua ya mimi kuondoka, watu walianza kunichukia bila sababu yoyote.

“Mbona wachezaji wengi tuu wanaenda pale na kuondoka ila mimi tuu ndo wawe na chuki kubwa na mimi!!?, kosa langu kubwa liko wapi?

“Japo kuwa naamini kabisa nikirudi napokelewa kwa sababu narudisha maslahi kwenye upande wa timu na mashabiki, ila sidhani kama wanachokifanya ni sahihi,” amesema Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele.
 

Robbrygo JR

Mgeni
May 20, 2024
13
8
5
Sio tu mashabiki bali ata viongoz pia watampokea. Tulishayaona hayo kwa Haruna Niyonzima na Benard Morrison. Ila m namshauri aje 🦁 awasahau 🐸🐸.
😂🙌
 

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
Akirudi anapokelewa hakuna mtu aliwaudhi Sana yanga Kama metacha mnata, mashabiki walinyooshewa dole la Kati wakamchukia kwa miaka miwili na bado akajaomba msamaha ambao hakutumia dk hata 3 na akasamehewa WHY MAYELE😁😁😁🤣
 

idrissu

Mpiga Chabo
May 29, 2024
1
0
0
Kam jini akitumwa anaweza kurudi kwa aliemtuma bila kuleta madhara basi asiwe na shaka kupokelewa 😅