Mchezaji Gani Akikosekana Kwenye Timu Unayoishabikia Kwenye Dabi Ya Kariakoo Unajua Kabisa HAMTOTOBOA?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
513
676
125
Wikiendi hii, watani wa jadi, Simba na Yanga, wanakutana katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mashabiki wanatarajia pambano kali, kwani timu zote zina morali ya ushindi. Simba wanalenga kulipa kisasi baada ya kupoteza michezo ya awali, huku Yanga wakitaka kuendeleza ubabe wao.

Mchuano huu unaweka jiji la Dar es Salaam kwenye hali ya taharuki, huku kila timu ikijitahidi kutawala uwanja na kuimarisha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.
 
  • Like
Reactions: Daniel_Makala

Jm.com

Mpiga Chabo
Oct 17, 2024
1
0
0
Kwa upande wangu nikiwa ni mwananchi wa ukweli hakuna kwasababu kikosi chetu kipo imara kila idara.
 
BOCA JUNIOR

Mpiga Chabo
Oct 17, 2024
1
0
0
Wikiendi hii, watani wa jadi, Simba na Yanga, wanakutana katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mashabiki wanatarajia pambano kali, kwani timu zote zina morali ya ushindi. Simba wanalenga kulipa kisasi baada ya kupoteza michezo ya awali, huku Yanga wakitaka kuendeleza ubabe wao.

Mchuano huu unaweka jiji la Dar es Salaam kwenye hali ya taharuki, huku kila timu ikijitahidi kutawala uwanja na kuimarisha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.
akikosekana Master KI presha inapanda
 
Msabi Julu

Mpiga Chabo
Oct 17, 2024
2
0
0
Wikiendi hii, watani wa jadi, Simba na Yanga, wanakutana katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mashabiki wanatarajia pambano kali, kwani timu zote zina morali ya ushindi. Simba wanalenga kulipa kisasi baada ya kupoteza michezo ya awali, huku Yanga wakitaka kuendeleza ubabe wao.

Mchuano huu unaweka jiji la Dar es Salaam kwenye hali ya taharuki, huku kila timu ikijitahidi kutawala uwanja na kuimarisha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.
Bacca
 
Oct 9, 2024
32
6
5
Mwananchi wa kijiweni apo sioni wakukosekana maana waliopo bench wanauwezo wakukiwasha vilevile japo wanatofautiana viwango ila kwa wanavyocheza simba wanauwezo wakufungwa ata na diara mwenyewe
 
jackson1234

Mgeni
Sep 15, 2024
7
2
5
Wikiendi hii, watani wa jadi, Simba na Yanga, wanakutana katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mashabiki wanatarajia pambano kali, kwani timu zote zina morali ya ushindi. Simba wanalenga kulipa kisasi baada ya kupoteza michezo ya awali, huku Yanga wakitaka kuendeleza ubabe wao.

Mchuano huu unaweka jiji la Dar es Salaam kwenye hali ya taharuki, huku kila timu ikijitahidi kutawala uwanja na kuimarisha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.
Akikosekana karabaka na chasambi dabi haita noga🤔😶
 
  • Like
Reactions: wiseman

Hussein abeli🤳