Mchezaji Gani Akikosekana Kwenye Timu Unayoishabikia Kwenye Dabi Ya Kariakoo Unajua Kabisa HAMTOTOBOA?

shaibu

Mpiga Chabo
Oct 17, 2024
1
0
0
Wikiendi hii, watani wa jadi, Simba na Yanga, wanakutana katika mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Mashabiki wanatarajia pambano kali, kwani timu zote zina morali ya ushindi. Simba wanalenga kulipa kisasi baada ya kupoteza michezo ya awali, huku Yanga wakitaka kuendeleza ubabe wao.

Mchuano huu unaweka jiji la Dar es Salaam kwenye hali ya taharuki, huku kila timu ikijitahidi kutawala uwanja na kuimarisha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.
Debra Fernandez mavao
 
Markleoh

Kuna huyu Mwamba anaitwa Mbape Max Nzengeli. Ile ni ingine