Edwin Balua, Kocha hajamuelewaKikosi cha Timu ya Taifa la Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024
View attachment 1568
Mbona yuko hapo baada ya FEITOTONingetamani kumuona mshambuliaji wa Fountain Gate Mwalimu akiitwa,alafu sijaona sababu ya Himid Mao kuitwa
Mbona kamuacha novatus dismas mroshi uyu kocha hamna Yani achamuona balua nae kamuachaBalua vp tena au kocha kaamua kufany rotation
Simon msuvaKikosi cha Timu ya Taifa la Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024
View attachment 1568
Kikosi cha Timu ya Taifa la Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024
View attachment 1568 NOVATUS MIROSHI /KEVIN JOHN