Mchezaji Gani Ulitamani Kumuona Kwenye Kikosi Hiki Cha Taifa Stars?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
622
125
Kikosi cha Timu ya Taifa la Tanzania kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024
GYymdz1XUAAvEHo.jpg
 

Cathbeth

Mpiga Chabo
Oct 1, 2024
1
0
0
Ningetamani kumuona mshambuliaji wa Fountain Gate Mwalimu akiitwa,alafu sijaona sababu ya Himid Mao kuitwa